-
Brazil yamuita nyumbani balozi wake wa Israel, mzozo watokota
Feb 20, 2024 12:52Serikali ya Brazil imemrejesha nyumbani balozi wake wa Israel, huku mzozo wa kidiplomasia ukiendelea kutokota baina ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini na Tel Aviv.
-
Rais wa Brazil: Umoja wa Mataifa uwe na ushujaa kuhakikisha nchi ya Palestina inaundwa
Oct 29, 2023 03:00Rais Lula da Silva wa Brazil amesema, Umoja wa Mataifa lazima uwe na ushujaa wa kuhakikisha inaundwa nchi ya Palestina.
-
Kikao kisichokuwa na natija cha Baraza la Usalama: Marekani yapinga usitishaji mapigano Gaza
Oct 19, 2023 10:50Jumatano, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilikataa tena azimio la kusitisha mapigano huko Gaza kufuatia upinzani wa Marekani. Marekani ilipinga azimio lililopendekezwa kwa Baraza la Usalama na Brazil, lililotaka kusitishwa mapigano ili kufikishwa misaada ya kibinadamu Ghaza.
-
Rais wa Brazil atoa mwito tena wa kufanyiwa mageuzi Baraza la Usalama la UN
Aug 27, 2023 13:12Rais Luis Inacio Lula da Silva wa Brazil amerudia tena wito wake wa kufanyiwa mageuzi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Sisitizo la Rais wa Brazil la kupigwa teke sarafu ya dola katika biashara za kimataifa
Aug 05, 2023 03:56Rais Luiz Inácio Lula da Silva wa Brazil ametaka kupigwa teke na kuwekwa pembeni matumizi ya sarafu ya dola katika biashara za kimataifa na kutafutwa sarafu nyingine za kuziba nafasi ya sarafu hiyo ya Marekani.
-
Maonyesho ya kuakisi madhila ya Wapalestina yafanyika kwenye barabara za Sao Paulo, Brazil
Apr 17, 2023 10:29Maonesho ya picha za barabarani yamefanyika katika mji wa São Paulo nchini Brazili, kwa mnasaba wa Siku ya Quds Duniani.
-
Rais wa Brazil aitaka Marekani iache kuchochea moto wa vita Ukraine
Apr 16, 2023 06:54Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil amesema akiwa mjini Beijing, China kwamba Marekani inapaswa iepuke hatua za kuchochea moto wa vita nchini Ukraine.
-
kufutwa sarafu ya dola katika mabadilishano ya kibiashara kati ya Brazil na China
Apr 02, 2023 02:23Serikali za Brazil na China Jumatano, Machi 29, zilitangaza makubaliano ambapo dola ya Marekani utatupiliwa mbali na kuondolewa katika miamala ya kibiashara kati ya nchi hizo mbili.
-
Serikali mpya ya Brazil kurejesha uhusiano wake wa kidiplomasia na Venezuela
Dec 15, 2022 07:09Serikali mpya ya Brazil inapanga kurejesha uhusiano wa kidiplomasia wa nchi hiyo na Venezuela, ambao ulivunjwa wakati wa serikali iliyopita ya nchi hiyo.
-
Ushindi wa Lula da Silva nchini Brazil na kupata nguvu wafuasi wa mrengo wa kushoto Amerika ya Latini
Nov 01, 2022 13:33Hatimaye baada ya vuta nikuvute na ushindani wa kisiasa nchini Brazil, Luiz Inácio Lula da Silva mgombea wa Chama cha Wafanyakazi (The Workers' Party) ameibuka mshindi baada ya kufanyika duru ya pili ya uchaguzi wa Rais.