-
Uchaguzi wa rais Brazil waingia duru ya pili, Rais Bolsonaro kutoana kijasho na Lula da Silva
Oct 03, 2022 07:42Uchaguzi wa rais wa Brazil umeingia duru ya pili baada ya wagombea kushindwa kupata nusu ya kura zote za wananchi katika kinyang'anyiro hicho kilichofanyika jana Jumapili.
-
Uhispania, Brazil zaripoti vifo vya kwanza vya Monkeypox nje ya Afrika
Jul 30, 2022 09:30Vifo vya kwanza vilivyotokana na ugonjwa wa Ndui ya Nyani (Monkeypox) nje ya bara la Afrika vimeripotiwa katika nchi za Uhispania na Brazil, huku maambukizi ya ugonjwa huo yakiongezeka kote duniani hususan barani Ulaya.
-
Serikali ya Brazil yakosoa vikwazo vya kiuchumi vya Magharibi dhidi ya Russia
Apr 08, 2022 02:45Wizara ya Mambo ya Nje ya Brazil imekosoa vikwazo vya kiuchumi vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia.
-
Waliofariki dunia kwa mafuriko nchini Brazil waongezeka hadi 117
Feb 18, 2022 11:40Zaidi ya watu 117 wamefariki dunia baada ya siku kadhaa za mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi yaliyoharibu barabara na nyumba nchini Brazil.
-
'Vifo vya corona nchini Brazil ni maafa makubwa kama ya bomu la nyuklia'
Apr 08, 2021 07:32Baada ya kuongezeka kupindukia idadi ya watu wanaofariki dunia kila siku kwa COVID-19 nchini Brazil, wataalamu wa afya wa nchi hiyo wamelifananisha janga hilo na maafa ya bomu la nyuklia na wanasema kuwa Brazil sasa hivi imekumbwa na balaa la "Fukushima za Biolojia."
-
Brazil yaweka rekodi mpya ya vifo vya Corona, zaidi ya 4,000 waaga dunia
Apr 07, 2021 07:35Kwa mara ya kwanza tangu janga la Corona liikabili dunia mapema mwaka jana, zaidi ya watu 4,000 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Covid-19 nchini Brazil katika kipindi cha siku moja.
-
Watu karibu milioni moja wameambukizwa corona nchini Brazil
Jun 18, 2020 11:08Idadi ya watu waliopatwa na virusi vya corona nchini Brazil imefika milioni moja.
-
Corona: Tanzania iko salama; wananchi watakiwa kuchukua tahadhari zaidi
Mar 16, 2020 08:08Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa, tayari imechukua hatua kadhaa za tahadhari ili kukabiliana na maambukizi ya Virusi vya Corona na kwamba kwa sasa nchi iko salama.
-
Trump akataa kupimwa Corona baada ya kukutana na afisa wa Brazil aliyepatikana na virusi hivyo
Mar 13, 2020 08:00Rais Donald Trump wa Marekani anashukiwa kuambukizwa ugonjwa wa COVID-19 maaarufu kama Corona baada ya kukutana na afisa ambaye amepatikana na ugonjwa huo.
-
Arab League yailaani Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara Quds tukufu
Dec 20, 2019 11:42Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeikosoa vikali Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara katika mji wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.