-
Trump akataa kupimwa Corona baada ya kukutana na afisa wa Brazil aliyepatikana na virusi hivyo
Mar 13, 2020 04:30Rais Donald Trump wa Marekani anashukiwa kuambukizwa ugonjwa wa COVID-19 maaarufu kama Corona baada ya kukutana na afisa ambaye amepatikana na ugonjwa huo.
-
Arab League yailaani Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara Quds tukufu
Dec 20, 2019 08:12Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeikosoa vikali Brazil kwa kufungua ofisi ya kibiashara katika mji wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Trump alishauriana na Michel Temer kuivamia kijeshi Venezuela
Nov 28, 2019 06:55Rais wa zamani wa Brazil, Michel Temer, amesema kuwa, Rais wa Marekani alimuuliza kuhusu namna ya kuishambulia Venezuela.
-
Mkutano wa BRICS na tahadhari ya Putin kuhusu vikwazo vya Marekani
Nov 15, 2019 03:08Viongozi wa nchi wanachama katika jumuiya ya BRICS unayojumuisha nchi tano za Russia, Brazil, China, India na Afrika Kusini wamekutana katika mji mkuu wa Brazil, Brasilia. Mkutano huo umefanyika katika siku za tarehe 13 na 14 na ulilenga kupanua zaidi ushirikiano wa masuala ya kifedha na kiuchuni baina ya nchi wanachama na kuleta mabadiliko katika muundo wa sasa wa kimataifa.
-
HAMAS yalaani safari ya Rais wa Brazil katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu
Apr 02, 2019 03:26Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani safari ya Rais Jair Bolsonaro wa Brazil katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel).
-
Safari ya rais wa Brazil Palestina inayokaliwa kwa mabavu, tamaa ya Wazayuni yashindwa kutimia
Apr 02, 2019 03:01Kuingia madarakani Rais Jair Bolsonaro huko Brazil ambaye alianza kazi yake rasmi mwezi Januari mwaka huu wa 2019 kumepokewa kwa hisia tofauti.
-
Arab League yazilaani Brazil, Australia kwa kuitambua Quds kuwa eti mji mkuu wa Israel
Dec 19, 2018 04:10Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imepasisha azimio la kulaani hatua ya Brazil na Australia ya kuutambua mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel kuwa eti ni mji mkuu wa utawala huo pandikizi.
-
Mripuko wa fataki waua watu 8 kanisani nchini Mexico
Dec 12, 2018 03:19Kwa akali watu wanane wamepoteza maisha na wengine wengi wamejeruhiwa baada ya kutokea mripuko wa fataki katika kanisa moja nchini Mexico.
-
Arab League yaonya kuhusu azma ya Brazil ya kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds
Dec 11, 2018 03:45Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeitahadharisha Brazil dhidi ya mpango wake wa kuuhamishia ubalozi katika mji wa Quds kutoka Tel Aviv, ikisisitiza kwamba hatua hiyo itakuwa na athari mbaya katika uhusiano wa nchi hiyo na nchi za Kiarabu.
-
Larijani: Kundi la kigaidi la Daesh lilianzishwa na Marekani
Nov 11, 2018 09:01Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kundi la kigaidi la Daesh lilianzishwa na Marekani na kwamba madai kuwa serikali ya Washington inapambana na ugaidi siyo ya kweli.