-
Rais mteule wa Brazil akosolewa kwa kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi yake Quds
Nov 02, 2018 08:04Rais mteule wa Brazil amekosolewa vikali ndani na nje ya nchi kwa kusema kuwa nchi hiyo inatathmini mpango wa kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel kutoka Tel Aviv.
-
Watu elfu tatu watiwa mbaroni katika operesheni kubwa ya msako wa wahalifu nchini Brazil
Aug 27, 2018 03:18Polisi ya Brazil imewatia mbaroni watu elfu tatu katika operesheni kubwa ya msako wa watu wanaohusishwa na vitendo mbalimbali vya uhalifu.
-
Zarif awasili Brazil baada ya kufanya mazungumzo na Rais wa Senegal
Apr 10, 2018 07:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili nchini Brazil mapema leo Jumanne katika safari yake ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadha za Afrika na Amerika ya Latini.
-
Watu tisa wauawa katika ghasia ndani ya gereza Brazil
Jan 02, 2018 15:10Watu wasiopungua tisa wameuawa na wengine 14 kujeruhiwa katika ghasia zilizotokea jana Jumatatu ndani ya gereza nchini Brazil huku wafungwa zaidi ya 100 wakitoroka.
-
Kikao cha kushukuru mchango wa Waislamu chafanyika nchini Brazil
Jul 07, 2017 07:50Kikao cha kuheshimu na kutambua mchango wa jamii ya Waislamu wa Brazil kilifanyika jana katika bunge la nchi hiyo.
-
Brazil yalaani ujenzi mpya wa nyumba za Mayahudi Ukingo wa Magharibi
Apr 05, 2017 07:47Brazil imelaani uamuzi uliopasishwa hivi karibuni na baraza la mawaziri la utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Rouhani: Iran inakaribisha kuimarika ushirikiano wake na Brazil
Feb 05, 2017 14:24Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono azma ya Brazil ya kutaka kuimarisha uhusiano na ushirikiano wake na Tehran katika nyuga tofauti.
-
Ndege yaanguka ikiwa na timu ya soka ya Brazil, 81 wahofiwa kuaga dunia
Nov 29, 2016 07:25Ndege iliyokuwa imebeba watu 81, wakiwemo wachezaji wa timu moja ya mpira ya Brazil, imeanguka nchini Colombia.
-
Maelfu waandamana Brazil kumuunga mkono Rais Rousseff aliyeuzuliwa
Sep 05, 2016 07:24Maelfu ya watu wameandamana nchini Brazil kumuunga mkono rais aliyeuzuliwa Bi. Dilma Rousseff huku wakibainisha upinzani wao kwa serikali mpya inayoongozwa na Michel Temer.