-
Kamati ya usalama Iraq: Marekani haijawa na nafasi yoyote ya kuimarisha usalama nchini
Jan 16, 2020 23:22Mjumbe mwandamizi wa kamati ya usalama na ulinzi ya bunge la Iraq amesema kuwa askari vamizi wa Marekani hawajawahi kuwa na nafasi yoyote ya kuimarisha usalama na amani nchini humo.
-
Bunge la Iraq lapitisha mpango wa kuwatimua askari wa jeshi la Marekani walioko nchini humo + Video
Jan 05, 2020 12:48Bunge la Iraq limepiga kura na kupitisha mpango uliopendekezwa na wabunge wa kuhitimisha makubaliano ya kijeshi yaliyofikiwa kati ya nchi hiyo na Marekani na kuwataka wanajeshi wa Marekani waondoke nchini humo.
-
Watu zaidi ya 300 kutoa ushahidi mahakamani dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel
Dec 03, 2019 23:31Watu 333 watatoa ushahidi dhidi ya Benjamin Netanyahu Kwa mujibu wa mashtaka yaliyowasilishwa kwa bunge la utawala wa Kizayuni (Knesset) kuhusu mafaili ya ufisadi yanayomkabili Waziri Mkuu huyo wa utawala wa Kizayuni.
-
Bunge la Iraq laafiki kujiuzulu Waziri Mkuu Adil Abdul-Mahdi
Dec 01, 2019 10:08Bunge la Iraq lililokutana kwa kikao cha dharura kilichofanyika leo limeukubali uamuzi uliochukuliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Adil Abdul-Mahdi wa kujiuzulu wadhifa wake huo.
-
Kubakia Uingereza katika njia panda ya Brexit
Oct 22, 2019 23:13Mvutano kuhusu kujiondoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya mpango unaojulikana kama Brexit umegeuka na kuwa mjadala mkubwa na wa kila upande baina ya Bunge na serikali ya nchi hiyo.
-
Chama cha Kiislamu chaongoza matokeo ya awali ya uchaguzi wa Bunge Tunisia
Oct 07, 2019 04:20Matokeo ya awali na yasiyo rasmi ya uchaguzi wa Bunge la Tunisia yanaonesha kuwa chama cha Kiislamu cha al Nahdha kinachoongozwa na Rached Ghannouchi kinaongoza kwa wingi wa viti ikilinganishwa na vyama vingine.
-
Spika wa Bunge Misri amfananisha Rais wa nchi hiyo na Adolf Hitler
Oct 03, 2019 04:27Spika wa Bunge la Misri amemfananisha Rais Abdel Fattah al Sisi wa nchi hiyo na dikteta wa zamani wa Ujerumani Adolf Hitler.
-
Mahakama ya Juu Kabisa ya Uingereza yabatilisha uamuzi wa Johnson wa kusimamisha Bunge
Sep 24, 2019 10:12Mahakama ya Juu Kabisa ya Uingereza imebatilisha uamuzi uliochukuliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Boris Johnson wa kusimamisha vikao vya Bunge na kusisitiza kuwa hatua hiyo imechukuliwa "kinyume cha sheria, ni batili na haina athari yoyote".
-
Kushadidi makabiliano baina ya Boris Johnson na wapinzani wake kuhusiana na Brexit
Sep 03, 2019 22:08Kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya (Brexit) limegeuka na kuwa suala muhimu hivi sasa katika siasa za ndani na za nje za London.
-
Malkia wa Uingereza amfungulia njia Waziri Mkuu kujitoa katika Umoja wa Ulaya bila kufikia mwafaka
Aug 28, 2019 22:07Malkia Elizabeth wa Uingereza amelikubali ombi la Waziri Mkuu wa nchi hiyo Boris Johnson la kusimamisha shughuli za bunge.