Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bunge

  • Bunge la Iran laipongeza IRGC kwa kusimamisha meli ya mafuta ya Uingereza

    Bunge la Iran laipongeza IRGC kwa kusimamisha meli ya mafuta ya Uingereza

    Jul 21, 2019 07:48

    Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelishukuru na kulipongeza Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kwa kusimamisha meli ya mafuta ya Uingereza ya "Stena Impero" baada ya meli hiyo kujaribu kupita kwenye Lango Bahari la Hormuz bila ya kuheshimu sheria za kimataifa.

  • Bunge la Tunisia lachunguza njama ya mapinduzi nchini humo

    Bunge la Tunisia lachunguza njama ya mapinduzi nchini humo

    Jul 03, 2019 08:17

    Spika wa Bunge la Tunisia ametangaza kuwa kumeundwa kamati ya kuchunguza njama ya kufanya mapinduzi nchini humo kufuatia hali mbaya ya kiafya ya Rais Beji Caid al Sebsi wa nchi hiyo.

  • Lissu kwenda mahakamani kupinga hatua ya kupokonywa Ubunge

    Lissu kwenda mahakamani kupinga hatua ya kupokonywa Ubunge

    Jun 28, 2019 23:31

    Baada ya Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kusema Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa mbunge, mwanasiasa huyo ambaye anaendelea kuuguza majeraha ya risasi ughaibuni amesema atakwenda mahakamani kupinga uamuzi huo.

  • Misri yatangaza tarehe ya kura ya maoni ya kurefusha uongozi wa Sisi

    Misri yatangaza tarehe ya kura ya maoni ya kurefusha uongozi wa Sisi

    Apr 17, 2019 23:16

    Tume ya Uchaguzi ya Misri imetangaza tarehe ya kura ya maoni yenye azma ya kuondoa kikomo cha muhula wa rais, hatua ambayo huenda ikamruhusu Rais Abdulfattah al-Sisi wa nchi hiyo kugombea zaidi ya mihula miwili inayoruhusiwa na katiba.

  • Waalgeria washadidisha maandamano baada ya kuteuliwa rais wa mpito

    Waalgeria washadidisha maandamano baada ya kuteuliwa rais wa mpito

    Apr 09, 2019 10:11

    Maelfu ya wananchi wa Algeria wakiwemo wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamemiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kupinga kuteuliwa rais wa mpito wa nchi hiyo.

  • Bunge la Algeria kumteua rais wa mpito baada ya Bouteflika kujiuzulu

    Bunge la Algeria kumteua rais wa mpito baada ya Bouteflika kujiuzulu

    Apr 07, 2019 02:24

    Bunge la Algeria linatazamiwa kumteua rais wa mpito atakayeiongoza nchi hiyo baada ya Abdelaziz Bouteflika kujiuzulu.

  • Bunge la Australia lamjia juu Seneta mwenye chuki dhidi ya Waislamu

    Bunge la Australia lamjia juu Seneta mwenye chuki dhidi ya Waislamu

    Apr 03, 2019 22:05

    Bunge la Australia limepiga kura kwa kishindo kupasisha hoja ya kumlaani na kumkosoa Seneta mwenye misimamo mikali wa mrengo wa kulia, kutokana na matamshi yake ya chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu baada ya shambulizi la kigaidi la mwezi uliopita nchini New Zealand.

  • Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania alionya Bunge

    Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania alionya Bunge

    Apr 03, 2019 10:26

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Tanzania, Profesa Mussa Juma Assad ametahadharisha kuhusu matokeo mabaya ya hatua ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kupasisha azimio la kutofanya kazi naye.

  • Matakwa matatu ya Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan dhidi ya Israel

    Matakwa matatu ya Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan dhidi ya Israel

    Mar 15, 2019 03:51

    Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan imetoa wito wa kufukuzwa balozi wa Israel mjini Amman, kurejeshwa nyumbani balozi wa Jordan huko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kufutwa mkataba wa gesi na Israel.

  • Wabunge wa Iran wakusanya sahihi kumsihi Zarif asijiuzulu

    Wabunge wa Iran wakusanya sahihi kumsihi Zarif asijiuzulu

    Feb 27, 2019 04:30

    Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) wameanza kukusanya sahihi kwa shabaha ya kumuomba Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran aghairi msimamo wake wa kujiuzulu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS