• Kuendelea mgogoro wa Burundi licha juhudi za kisiasa

    Kuendelea mgogoro wa Burundi licha juhudi za kisiasa

    Mar 06, 2016 21:49

    Katika hali ambayo Umoja wa Afrika umeimarisha kamati ya usuluhishi nchini Burundi kwa minajili ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa unaoikabili nchi hiyo, bado machafuko yanatajwa kuendelea katika nchi hiyo mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

  • UN: Maelfu ta Warundi wamekimbilia nchi jirani

    UN: Maelfu ta Warundi wamekimbilia nchi jirani

    Mar 05, 2016 23:09

    Kamishna Mkuu wa Wakimbizi wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa maelfu ya Warundi wamekimbilia katika nchi jirani.

  • EAC yapata Katibu Mkuu mpya

    EAC yapata Katibu Mkuu mpya

    Mar 02, 2016 23:38

    Mwanadiplomasia wa Burundi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Viongozi wa nchi 5 za jumuiya hiyo mbali na kuidhinisha uanachama wa Sudan Kusini pia wamemteua Liberat Mfumukeko kuchukua nafasi ya Dkt. Richard Sezibera ambaye anamaliza muda wake.

  • AU yataka kuhitimishwa haraka mgogoro wa Burundi

    AU yataka kuhitimishwa haraka mgogoro wa Burundi

    Mar 01, 2016 12:15

    Viongozi wa Umoja wa Afrika waliozuru Burundi hivi karibuni, wametaka yafanyike mazungumzo ya haraka kati ya serikali na wapinzani, kwa lengo la kuhitimisha mgogoro wa nchi hiyo.

  • Asasi za kiraia: Mzozo wa Burundi upewe kipaumbele katika mkutano wa EAC

    Asasi za kiraia: Mzozo wa Burundi upewe kipaumbele katika mkutano wa EAC

    Mar 01, 2016 04:28

    Huku marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC wakitazamiwa kukutana mjini Arusha Tanzania kesho Jumatano, mashirika ya kijamii na asasi za kiraia zipatazo 17 za kanda hiyo zimetoa wito wa kupewa kipaumbele mgogoro wa kisiasa wa Burundi katika mkutano huo.

  • Nchi za Afrika Mashariki kupiga marufuku mitumba

    Nchi za Afrika Mashariki kupiga marufuku mitumba

    Feb 27, 2016 22:59

    Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki watakutana Arusha, Tanzania Jumatano ijayo kujadili upigaji marufuku uingizaji wa nguo zilizotumika au mitumba, magari yaliyotumika na bidhaa za ngozi kutoka nje ya eneo eneo hilo.

  • Ujumbe wa AU wakamilisha safari yake Burundi

    Ujumbe wa AU wakamilisha safari yake Burundi

    Feb 27, 2016 13:20

    Ujumbe wa Umoja wa Afrika uliokuwa umetumwa nchini Burundi kutafuta suluhisho la mgogoro wa nchi hiyo umekamilisha safari yake nchini humo baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Pierre Nkurunziza.

  • Ujumbe wa AU wawasili Burundi baada ya kuondoka Ban Ki-Moon

    Ujumbe wa AU wawasili Burundi baada ya kuondoka Ban Ki-Moon

    Feb 25, 2016 12:59

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini anaongoza ujumbe wa marais wanne wa Umoja wa Afrika ambao umewasili nchini Burundi leo Alkhamisi kwa lengo la kufanya mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi mzozo wa kisiasa unaoikabili nchi hiyo tangu mwezi Aprili mwaka jana.

  • Ujumbe wa AU wawasili Burundi baada ya kuondoka Ban Ki-Moon

    Ujumbe wa AU wawasili Burundi baada ya kuondoka Ban Ki-Moon

    Feb 25, 2016 11:59

    Rais Macky Sall wa Senegal anaongoza ujumbe wa marais wanne wa Umoja wa Afrika ambao umewasili nchini Burundi leo Alkhamisi kwa lengo la kufanya mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi mzozo wa kisiasa unaoikabili nchi hiyo tangu mwezi Aprili mwaka jana.

  • Ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi

    Feb 24, 2016 07:12

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliwasili nchini Burundi wiki hii katika juhudi za kuutafutia suluhisho mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.