-
Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi
Dec 27, 2022 22:27Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.
-
China: Mazungumzo ya JCPOA yapo katika marhala ya mwisho
Dec 27, 2022 03:56China imesema mazungumzo ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yapo katika hatua ya mwisho, na kusisitiza kwamba fursa ya kufufua mapatano hayo ya kimataifa ingalipo.
-
Rais Raisi: Misimamo ya rais wa China wakati wa safari yake katika eneo imeisikitisha Iran
Dec 13, 2022 09:41Rais Ebrahim Raisi amesema, baadhi ya misimamo iliyotangazwa katika safari ya karibuni ya rais wa China katika eneo imelisikitisha taifa na serikali ya Iran.
-
China: Marekani isiitumie Afrika katika michezo yake ya kijiopolitiki
Dec 13, 2022 03:29Balozi wa China nchini Marekani amepinga madai ya Washington kuwa nchi za Afrika zimenasa kwenye mtego wa Beijing kutokana na madeni.
-
Jibu la Iran kwa taarifa ya pamoja ya China na Saudia na madai yaliyoibuliwa
Dec 11, 2022 23:11Mohammad Jamshidi, Mkuu wa masuala ya kisiasa katika Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter kujibu matamshi ya Rais wa China aliyotoa wakati wa ziara yake nchini Saudi Arabia.
-
Xi Jinping: China itaendelea kuunga mkono juhudi za Wapalestina
Dec 09, 2022 22:52Rais Xi Jinping wa China amesema serikali ya Beijing inaunga mkono jitihada za taifa la Palestina zinazolenga kuhuisha haki za msingi za Wapalestina.
-
Kuwa tayari Moscow na Beijing kukabiliana na mashinikizo ya makubwa ya Magharibi
Dec 06, 2022 04:07Waziri Mkuu wa Russia ametangaza kuwa, Moscow na Beijing zinataka kuasisi ngao ya kambi kadhaa na kujiandaa pamoja kukabiliana na changamoto mpya na mashinikizo makubwa ya nchi ajinabi.
-
Ombi la Ulaya kwa China, mshaurini Putin asitishe vita Ukraine
Dec 02, 2022 22:53Charles Michel, Rais wa Baraza la Ulaya, amekutana na kuzungumza na Rais Xi Jinping katika ziara yake rasmi nchini China. Katika mkutano huu, Michel alimwomba Xi kutumia ushawishi wa Beijing kwa Russia ili kusitisha vita nchini Ukraine.
-
Russia na China zapinga azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa IAEA dhidi ya Iran
Nov 19, 2022 08:22Azimio jipya la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani limepasishwa ambapo limetuma ujumbe ulio wazi kufuatia kupungua kwa kura za nchi zilizoliunga mkono licha ya mashinikizo mapya ya kisiasa ya Marekani na Troika ya Ulaya dhidi ya Iran.
-
Lavrov asisitiza kushirikiana na Iran, China, Uturuki na India
Nov 18, 2022 23:00Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana Ijumaa alisisitiza kuwa kuna umuhimu Moscow kushirikiana na Tehran, Beijing, Ankara, New Delhi na nchi nyingine za pambizoni mwa bahari ya Kaspi.