-
China yaituhumu Marekani kuwa inatekeleza 'Ugaidi wa Kiuchumi'
May 30, 2019 07:10China imeituhumu Marekani kuwa inachochea kwa makusudi mizozo ya kibiashara ambayo ni sawa na 'ugaidi wa wazi wa kiuchumi.'
-
China na Russia kususia mkutano wa Marekani dhidi ya Palestina, Bahrain
May 29, 2019 03:30Serikali za China na Russia zimetangaza kuwa hazitashiriki mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain.
-
Meli za kivita za Marekani zafika mipaka ya China, hali ya taharuki yaendelea
May 20, 2019 06:12Jeshi la Marekani limetuma meli zake za kivita ambazo zimefika karibu na visiwa vya China katika Bahari ya Kusini ya China katika hatua ambayo imewakasirisha wakuu wa Beijing na hivyo kupelekea hali ya taharuki kuendelea baina ya nchi hizo mbili ambazo tayari ziko katika vita vya kibiashara.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini China; mazungumzo ya kisiasa na kiuchumi
May 18, 2019 02:55Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif katika bara Asia iliendelea kwa kuutembelea mji mkuu wa China na kufanya mazungumzo na viongozi wa nchi hiyo na hivyo kufungua ukurasa mpya wa udiplimasia wa kieneo wa Iran.
-
Mazungumzo ya Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na China
May 17, 2019 08:59Waziri wa Mashauri ya Kiigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye leo aliwasili Beijingi mji mkuu wa China amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Wang Yi.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran awasili China akitokea Japan
May 17, 2019 03:01Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Beijing, mji mkuu wa China mapema leo Ijumaa katika safari yake ya kidiplomasia ya kuzitembelea nchi kadhaa za bara Asia.
-
Dikrii mpya ya Trump; makabiliano ya kiteknolojia kati ya Washington na Beijing
May 17, 2019 00:30Hitilafu kati ya Marekani na China zinasababisha taathira mbalimbali za kisaisa, kibiashara, kiuchumi, kijeshi, kiusalama na kistratejia. Washington si tu kuwa haina nia ya kufikia muafaka na Beijing bali inataka kuzuia maendeleo ya China na ustawi wa teknolojia ya nchi hiyo.
-
Huawei na mashirika yake mengine 70 yawekwa katika orodha nyeusi ya Marekani
May 16, 2019 05:39Wizara ya Biashara ya Marekani imetangaza kuliweka Shirika la Huawei pamoja na mashirika mengine yapatayo 70 yanayofungamana nalo katika orodha yake nyeusi.
-
Indhari ya Katibu Mkuu wa UN kuhusu kushtadi mivutano ya kibiashara duniani
May 11, 2019 06:40Rais Donald Trump wa Marekani kivitendo ameamua kuingia katika vita vya kibiashara na aghalabu ya nchi zilizo na uchumi unaonawiri duniani kwa kutekeleza siasa za kiuchumi za uchukuaji maamuzi ya upande mmoja na kuongeza ushuru wa forodha kwa bidhaa zinazoingia Marekani.
-
China, Russia, Ufaransa na Ujerumani zatoa radiamali zao kufuatia tangazo la Iran
May 08, 2019 09:20Russia, China, Ufaransa na Ujerumani ambazo ni katika nchi tano zilizosalia katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA zimetoa radimali kufuatia uamuzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kusimamisha kwa muda utekelezaji wa baadhi ya ahadi zake kuhusu mapatano hayo, ikiwa ni mwaka mmoja baada ya Marekani kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano hayo muhimu ya kimataifa.