Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • Kharrazi: Aghalabu ya nchi duniani zinapinga sera za Marekani dhidi ya Iran

    Kharrazi: Aghalabu ya nchi duniani zinapinga sera za Marekani dhidi ya Iran

    Sep 11, 2018 03:02

    Mkuu wa Baraza la Stratejia za Uhusiano wa Nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Marekani inatekeleza sera zake dhidi ya Iran kwa kutumia mabavu, ubabe na vitisho.

  • Mazungumzo ya Waziri wa Ulinzi wa Iran nchini China na sisitizo la ushirikiano zaidi wa kijeshi na kiuchumi

    Mazungumzo ya Waziri wa Ulinzi wa Iran nchini China na sisitizo la ushirikiano zaidi wa kijeshi na kiuchumi

    Sep 09, 2018 03:00

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Amir Hatami ametembelea China kufuatia mwaliko wa waziri mwenzake wa nchi hiyo kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa kijeshi na kiuchumi baina ya China na Iran.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani inauvutia mfumo wa kimataifa kuelekea kwenye mizozo

    Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani inauvutia mfumo wa kimataifa kuelekea kwenye mizozo

    Sep 08, 2018 02:52

    Brigedia Jenerali Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa, Marekani inauvutia mfumo wa kimataifa katika mzozo, ambapo katika kufikia malengo yake, inatumia nyenzo zote yakiwemo makundi ya kigaidi.

  • Sisitizo la Rais wa China la kustawisha uhusiano na bara la Afrika

    Sisitizo la Rais wa China la kustawisha uhusiano na bara la Afrika

    Sep 04, 2018 06:13

    Rais wa China amesisitiza udharura wa kustawishwa ushirikiano wa pande zote kati ya Beijing na bara la Afrika.

  • Rais wa China alipatia bara la Afrika mabilioni ya dola; asema zisitumike katika miradi ya kifisadi

    Rais wa China alipatia bara la Afrika mabilioni ya dola; asema zisitumike katika miradi ya kifisadi

    Sep 03, 2018 22:09

    Rais Xi Jinping wa China jana Jumatatu aliipatia Afrika kitita kingine cha dola bilioni 60 na kusema kuwa makampuni ya Kichina yatahimizwa kuwekeza kiasi kisichopungua chini ya dola bilioni 10 katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.

  • Rais Xi Jinping wa China asisitiza kupanua ushirikiano wa nchi yake na bara la Afrika

    Rais Xi Jinping wa China asisitiza kupanua ushirikiano wa nchi yake na bara la Afrika

    Sep 03, 2018 09:16

    Rais Xi Jinping wa China amesisitiza kupanua ushirikiano wa nchi yake na nchi za bara la Afrika.

  • Marekani yatoa vitisho tena kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran

    Marekani yatoa vitisho tena kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran

    Aug 17, 2018 23:44

    Serikali ya Marekani imezitishia tena kuziwekea vikwazo nchi zinazonunua mafuta kutoka Iran ikiwemo China.

  • Pentagon: China inajitayarisha kuishambulia Marekani

    Pentagon: China inajitayarisha kuishambulia Marekani

    Aug 17, 2018 00:11

    Ripoti iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon imesema kuwa jeshi la China limepanua operesheni za ndege zake za kivita katika miaka ya hivi karibuni na kwamba kuna uwezekano kwamba zinafanya mazoezi ya kufanya mashambulizi dhidi ya Marekani na waitifaki wake.

  • Jeshi la China laionya Marekani kutokana na siasa zake za kupenda uhasama

    Jeshi la China laionya Marekani kutokana na siasa zake za kupenda uhasama

    Aug 15, 2018 03:05

    Jeshi la China sambamba na kutuma malalamiko yake kwa Marekani kutokana na siasa za Washington katika kuimarisha uhusiano wa kijeshi na eneo la Taiwan, limeionya nchi hiyo juu ya ukiukaji wake msingi wa China Moja.

  • China: Hatutasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kuihusu Iran

    China: Hatutasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kuihusu Iran

    Aug 14, 2018 10:31

    Mkuu wa Shirikisho la Sekta ya Mafuta na Bidhaa za Kemikali nchini China amesema kuwa, Beijing haina nia ya kusalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani kwa ajili ya kutekeleza vikwazo vya upande mmoja vya Washington dhidi ya Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS