Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • China: Tofauti za Washington na Beijing zinatokana na kusambaratika ubeberu wa Marekani

    China: Tofauti za Washington na Beijing zinatokana na kusambaratika ubeberu wa Marekani

    Aug 10, 2018 23:34

    Serikali ya China imesema kuwa, migogoro inayozidi kuongezeka katika uga wa kibiashara kati yake na Marekani, inatokana na kusambaratika ubeberu wa Marekani duniani.

  • Maelfu ya Waislamu China waandamana kupinga kubomolewa msikiti

    Maelfu ya Waislamu China waandamana kupinga kubomolewa msikiti

    Aug 10, 2018 12:15

    Maelfu ya Waislamu nchini China wamefanya maandamano kupinga hatua ya serikali ya kutaka kubomolewa msikiti kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Utayarifu wa China wa kusaidia kustawisha uchumi wa Korea Kaskazini

    Utayarifu wa China wa kusaidia kustawisha uchumi wa Korea Kaskazini

    Aug 05, 2018 20:48

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amesema kuwa, Beijing itaisaidia Korea kaskazini katika kukuza uchumi na ustawi wa nchi hiyo.

  • China yaionya tena Marekani, yasema haitaipigia magoti Washington

    China yaionya tena Marekani, yasema haitaipigia magoti Washington

    Jul 28, 2018 07:02

    Wizara ya Biashara ya China imetoa taarifa ambayo sambamba na kuwaonya viongozi wa Marekani imesema kuwa, nchi hiyo haitaipigia magoti Marekani katika vita vya kibiashara.

  • Mkutano wa viongozi wa BRICS na ukosoaji wa sera za Marekani

    Mkutano wa viongozi wa BRICS na ukosoaji wa sera za Marekani

    Jul 27, 2018 02:07

    Sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja za Marekani ambazo zimeshika kasi zaidi katika utawala wa Donald Trump zimekuwa kero kwa aghlabu ya mataifa yote huru na yanayojitawala duniani.

  • China yasisitiza kukabiliana na vitisho vya kibiashara vya Marekani

    China yasisitiza kukabiliana na vitisho vya kibiashara vya Marekani

    Jul 21, 2018 22:56

    Wizara ya Mambo ya Nje ya China na katika radiamali yake juu ya vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na kuziwekea ushuru wa zaidi ya Dola bilioni 500 bidhaa za China zinazoingizwa nchi yake, imesema kuwa Beijing haitosalimu amri mbele ya mashinikizo na vitisho vya Washington.

  • China na Russia zapinga takwa la Marekani la kutoiuzia mafuta Korea Kaskazini

    China na Russia zapinga takwa la Marekani la kutoiuzia mafuta Korea Kaskazini

    Jul 20, 2018 03:48

    Duru za habari zimearifu kwamba China na Russia zimetupilia mbali pendekezo la Marekani kwa ajili ya kuzuia uuzaji mafuta kwa Korea Kaskazini.

  • China yaikosoa Marekani kwa kuanzisha vita vya kibiashara duniani

    China yaikosoa Marekani kwa kuanzisha vita vya kibiashara duniani

    Jul 19, 2018 22:17

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameikosoa Markeani kwa kuanzisha vita vya kibiashara duniani.

  • Kamal Kharrazi: Ulimwengu usimame na kukabiliana na ubeberu wa Marekani

    Kamal Kharrazi: Ulimwengu usimame na kukabiliana na ubeberu wa Marekani

    Jul 15, 2018 23:08

    Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikwazo vya Marekani dhidi ya taifa hili ni vya kidhulma na kuongeza kwamba, jamii ya kimataifa inapaswa kusimama kidete na kukabiliana na vikwazo hivyo.

  • Palestina yaitaka China isaidie utatuzi wa mgogoro wa Mashariki ya Kati

    Palestina yaitaka China isaidie utatuzi wa mgogoro wa Mashariki ya Kati

    Jul 14, 2018 09:40

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Palestina ameashiria njama na hatua za ukwamishaji mambo za Marekani katika kupatiwa ufumbuzi mgogoro wa Mashariki ya Kati na kuitaka China isaidie juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS