-
Ukosoaji wa Korea Kaskazini dhidi ya tabia ya Marekani katika kipindi chote cha mazungumzo
Jul 08, 2018 21:59Baada ya Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuondoka mjini Pyongyang kuelekea Japan, serikali ya Korea Kaskazini imekosoa siasa ambazo zimekuwa zikitekelezwa na Washington katika kipindi chote cha mazungumzo ya waziri huyo na viongozi wa Korea Kaskazini.
-
China yawaonya raia wake dhidi ya kwenda Marekani, kisa usalama
Jul 03, 2018 11:03China imetoa tahadhari mpya kwa raia wake waliosafiri au wanaotaka kusafiri kwenda Marekani ikisema kuwa hakuna usalama wa umma nchini humo.
-
Vyombo vya habari China: Serikali ya Trump itafeli kwa Iran kama zilivyofeli serikali za kabla yake
Jul 02, 2018 03:05Vyombo mbalimbali vya habari nchini China vimeakisi hotuba ya Kiongoni wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei aliyoitoa katika mahafali ya kuhitimu maafisa wa jeshi katika Chuo Kikuu cha Imam Hussein (as).
-
Matarajio ya Bangladesh kwa China kuhusu wakimbizi Waislamu wa Myanmar
Jul 01, 2018 03:16Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China ameeleza utayari wa serikali ya Myanmar kwa ajili ya kurejea nchini humo mamia ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya kutoka Bangladesh.
-
Tahadhari ya Beijing kwa Washington kuhusu athari mbaya za sera za kibiashara za White House
Jun 23, 2018 20:43Wizara ya Biashara ya China imetoa taarifa ikiitahadharisha Marekani kuhusu athari mbaya za sera za kibiashara za White House dhidi ya Beijing.
-
Kim Jong-un akutana na Rais Xi Jinping wa China mjini Beijing
Jun 19, 2018 09:31Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amefanya safari mjini Beijing, mji mkuu wa China na kukutana na Rais Xi Jinping wa nchi hiyo sambamba na kuzungumzia masuala ya kuinua kiwango cha mahusiano ya nchi mbili.
-
China yajibu mapigo ya Marekani katika vita vya kibiashara
Jun 16, 2018 02:26Serikali ya China imetangaza kupandisha ushuru wa forodha kwa asilimia 25, kwa bidhaa 659 za Marekani zinazoingia nchini humo, ikiwa ni katika kujibu hatua ya kiuhasama ya Washington ya kutangaza ongezeko la ushuru kwa asilimia 25 kwa bidhaa za China zinazopelekwa nchini Marekani, lililotangazwa na Rais Donald Trump mapema jana Ijumaa.
-
Rais Rouhani: Iran na China zimeazimia kuendeleza ushirikiano wa kistratejia katika nyuga zote
Jun 10, 2018 22:12Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na China wameeleza azma ya serikali zao ya kustawisha ushirikiano wao na kusisitiza juu ya kuendeleza ushirikiano wao wa pamoja wa kistratejia katika nyuga zote.
-
Rais Rouhani: Iran iko tayari kupanua ushirikiano wa kiuchumi kieneo na kimataifa
Jun 10, 2018 03:31Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ni mshirika huru na wa kuaminika na iko tayari kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kieneo na kimataifa.
-
Safari ya Rais Rouhani nchini China, fursa ya kuimarisha uhusiano wa kistratijia wa pande mbili na pande kadhaa
Jun 10, 2018 02:39Hassan Rouhani Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yuko nchini China kushriki katika kikao cha viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirkiano ya Shanghai (SCO)