-
eSwatini (Swaziland) kutokata uhusiano na Taiwan licha ya mashinikizo ya China
Jun 01, 2018 23:38Jamhuri ya eSwatini (Swaziland) imesisitiza kuwa haitakata uhusiano wake wa kidiplomasia na Taiwan licha ya mashinikizo ya kila upande kutoka China.
-
Baada ya kuitelekeza Taiwan, Burkina Faso yaanzisha uhusiano wa kidiplomasia na China
May 26, 2018 10:54China na Burkina Faso zimeanzisha uhusiano rasmi wa kidiplomasia baada ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi kuvunja uhusiano wake na Taiwan, ukiwa ni ushindi mwingine kwa Beijing inayoendelea kutoa mashinikizo kwa serikali ya Taipei.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Taiwan ajiuzulu baada ya Burkina Faso kukata uhusiano na kisiwa hicho
May 24, 2018 09:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Taiwan, Joseph Wu ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, baada ya Burkina Faso kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na kisiwa hicho ambacho China inadai ni milki yake.
-
Marekani yaamua kurudi nyuma katika vita vya biashara ilivyovianzisha dhidi ya China
May 21, 2018 09:42Waziri wa Fedha wa Marekani ameelezea kusimama vita vya kibiashara kati ya nchi yake na China sambamba na kukubali kupunguza mizozo ya kibiashara baina nchi hizo.
-
Kenya yajiunga na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia AIIB
May 04, 2018 23:34Kenya imejiunga na na Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia AIIB ikiwa ni katika jitihada za nchi hiyo kutafuta fursa mpya za kuijiimarisha kiuchumi.
-
China: Pande zote zinapaswa kuheshimu mapatano ya JCPOA
May 02, 2018 21:17China imesisitizia umuhimu wa pande zote husika kuendelea kufungamana na mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA.
-
Kuimarika uhusiano wa Zimbabwe na China
Apr 04, 2018 21:09Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amemshukuru rais mwenzake wa China Xi Jinping kwa uungaji mkono wa kisiasa wa nchi hiyo kwa Zimbabwe na kutaka kuimarishwa zaidi uhusiano wa pande mbili.
-
China yajibu mapigo katika vita vya biashara; yapandisha ushuru kwa bidhaa 128 za Marekani
Apr 02, 2018 00:03Serikali ya China imeweka viwango vipya vya ushuru wa forodha vya hadi asilimia 25 kwa bidhaa 128 za Marekani zinazoingizwa nchini humo zikiwemo za nyama ya barafu ya nguruwe, mvinyo na baadhi ya matunda ikiwa ni kujibu mapigo kwa kiwango cha juu cha ushuru kilichowekwa na Washington kwa bidhaa za feleji na aluminiamu zinazoingizwa nchini humo kutoka China.
-
Wizara ya Ulinzi ya China yaionya Marekani, yasema kamwe Beijing haitopuuza maslahi yake
Mar 30, 2018 23:36Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amesema kuwa nchi hiyo kamwe haitojisalimisha mbele ya ubeberu wa Marekani katika Bahari ya China Kusini, kama ambavyo pia haitoiruhusu Washington kuyatia hatarini maslahi yake katika eneo hilo.
-
Guterres: Kufukuzwa wanadiplomasia wa Russia kunakumbusha kipindi cha Vita Baridi
Mar 29, 2018 22:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameeleza wasiwasi wake kuhusiana na hatua ya baadhi ya nchi za Magharibi ya kuwafukuza wanadiplomasia wa Russia na kusema hali hiyo inakumbusha kipindi cha Vita Baridi.