-
Kukutana kiongozi wa Korea Kaskazini na Rais Xi Jinping wa China
Mar 29, 2018 05:03Kwa mara ya kwanza tangu ingie madarakani Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amekutana na Rais Xi Jinping wa China mjini Beijing ambapo pande mbili zimezungumzia masuala ya uhusiano wa nchi mbili na kadhalika mabadiliko ya eneo la Korea.
-
Kukutana kiongozi wa Korea Kaskazini na Rais Xi Jinping wa China
Mar 29, 2018 02:32Kwa mara ya kwanza tangu ingie madarakani Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini amekutana na Rais Xi Jinping wa China mjini Beijing ambapo pande mbili zimezungumzia masuala ya uhusiano wa nchi mbili na kadhalika mabadiliko ya eneo la Korea.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini afanya safari ya kinyemela China?
Mar 27, 2018 02:59Duru za habari zimefichua kuwa, yumkini kiongozi wa Korea Kaskazini amefanya safari ya kificho nchini China.
-
Wasi wasi wa Wamarekani kuhusiana na vita vya kibiashara kati ya nchi yao na China
Mar 26, 2018 00:10Suala la Rais Donald Trump wa Marekani kutia saini dikrii ya kupandishwa ushuru wa forodha wa biadhaa za China, limeibua tofauti kubwa za kibiashara kati ya Marekani na China.
-
Vitisho vipya vya Marekani dhidi ya Russia na China
Mar 11, 2018 23:01Jenerali John E. Hyten Mkuu wa Kamandi ya Kistratijia ya Marekani (United States Strategic Command) sambamba na kubainisha kwamba China na Russia hazifahamu mahala zilipo nyambizi za nyuklia za Marekani, amesisitiza kuwa, nchi yake ina uwezo wa kuzisababishia hasara kubwa nchi hizo kwa kutumia makombora ya kutoka bara hadi bara yaliyomo kwenye nyambizi hizo.
-
Rais Xi Jinping wa China amtaka Trump kuanzisha mazungumzo na Kim Jong-un mapema zaidi
Mar 10, 2018 11:39Rais Xi Jinping wa China amezungumza na Rais Donald Trump wa Marekani na kumtaka aanzishe mazungumzo na Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini katika kipindi kifupi zaidi.
-
Kuongezeka bajeti ya kijeshi ya China katika mwaka 2018
Mar 05, 2018 22:55Serikali ya China imetangaza kuongeza bajeti yake ya kijeshi katika mwaka huu wa 2018.
-
Trump ataka Marekani iwe na 'rais wa maisha kama China'
Mar 04, 2018 04:42Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayoashiria kuwa angependa kuiona nchi hiyo ikiwa na rais wa kudumu maisha.
-
China yazionya nchi zinazofuata sera za kibiashara za Marekani
Mar 03, 2018 01:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema kuwa, ufuataji sera za kibiashara za Marekani unaofanywa na baadhi ya nchi katika uga wa kibiashara, utasababisha madhara kwa biashara ya kimataifa.
-
China yauonya Umoja wa Ulaya kwa hatua yake mbaya dhidi ya biashara zake
Feb 11, 2018 03:57Serikali ya China imeuonya Umoja wa Ulaya kutokana na siasa mbaya za umoja huo dhidi ya Beijing na kusisitiza kwamba mienendo hiyo inaweza kuvuruga mahusiano ya kiuchumi kati ya nchi hiyo na umoja huo.