Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

China

  • AU yakanusha madai kuwa China inafanya ujasusi dhidi ya Afrika

    AU yakanusha madai kuwa China inafanya ujasusi dhidi ya Afrika

    Feb 09, 2018 00:23

    Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amesema kuwa madai kwamba China inafanya ujasusi katika makao makuu ya umoja huo mjini Addis Ababa ni uongo mtupu unaotolewa kwa shabaha ya kuvuruga ushirikiano wa pande hizo mbili.

  • China yapinga stratijia mpya ya Marekani ya silaha za nyuklia

    China yapinga stratijia mpya ya Marekani ya silaha za nyuklia

    Feb 05, 2018 23:15

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya China amesema nchi yake inapinga stratijia ya mpya ya Marekani ya silaha za nyuklia iliyotangazwa Ijumaa

  • China yaionya Marekani iache kuingilia masuala ya ndani ya eneo la Taiwan

    China yaionya Marekani iache kuingilia masuala ya ndani ya eneo la Taiwan

    Jan 18, 2018 11:14

    Kwa mara nyingine serikali ya China imeionya Marekani kutokana na uingiliaji wake katika masuala ya kisiwa cha Taiwan.

  • The Guardian: 2017 ulikuwa mwaka wa kuenea zaidi udikteta na kudhoofika Marekani

    The Guardian: 2017 ulikuwa mwaka wa kuenea zaidi udikteta na kudhoofika Marekani

    Dec 26, 2017 23:12

    Gazeti la Guardian linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa mwaka huu wa 2017 ulikuwa mwaka wa kuenea udikteta na uchoyo na kudhoofika zaidi uongozi wa Marekani.

  • China yazindua ndege kubwa zaidi inayoweza kutua nchi kavu na majini

    China yazindua ndege kubwa zaidi inayoweza kutua nchi kavu na majini

    Dec 25, 2017 04:13

    China imezindua ndege ya "Jiaolong" AG600 ambayo ni ndege kubwa zaidi duniani inayoweza kutua nchi kavu na majini.

  • Russia yaionya Marekani kuhusu kuchochea mgogoro wa Korea

    Russia yaionya Marekani kuhusu kuchochea mgogoro wa Korea

    Dec 11, 2017 23:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameionya Marekani kwa siasa zake za kuchochea na kushadidisha mgogoro wa Rasi ya Korea.

  • China mwenyeji wa kongamano la

    China mwenyeji wa kongamano la "Amani ya Mashariki ya Kati" kwa lengo la kuipatia ufumbuzi kadhia ya Palestina

    Dec 11, 2017 23:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China ametangaza habari ya kufanyika kongamano la "Amani ya Mashariki ya Kati" kwa lengo la kutafuta suluhisho la suala la Palestina; kongamano ambalo litahudhuriwa na pande husika hivi karibuni huko Beijing.

  • Taasisi ya Rand Corporation: Marekani itashindwa katika vita baina yake na Russia na China

    Taasisi ya Rand Corporation: Marekani itashindwa katika vita baina yake na Russia na China

    Dec 10, 2017 11:12

    Utafiti mpya uliofanywa na taasisi ya Rand Corporation unaonyesha kuwa iwapo kutatokea vita na mapigano ya kijeshi Marekani ndiyo itakayopata hasara kubwa mkabala na Russia na China.

  • Manuva ya kijeshi ya China katika pwani ya Djibouti

    Manuva ya kijeshi ya China katika pwani ya Djibouti

    Nov 28, 2017 09:17

    Duru za China zimetangaza habari ya kufanyika manuva ya kijeshi ya nchi hiyo katika pwani ya Djibouti iliyoko katika Pembe ya Afrika.

  • China: Myanmar na Bangladesh zishirikiane kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya

    China: Myanmar na Bangladesh zishirikiane kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya

    Nov 19, 2017 04:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi amezitaka serikali za Myanmar na Bangladesh kutatua matatizo ya Waislamu wa Rohingya, badala ya kusubiri utatuzi wa jamii ya kimataifa katika uwanja huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS