Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • "ISIS walitaka kushambulia ubalozi wa Marekani Lebanon na kuisingizia Hizbullah"

    Jan 24, 2020 06:15

    Gazeti la al Jamhuriyyah la Lebanon limefichua kuwa, genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) lilikuwa limepanga njama za kushambulia ubalozi wa Marekani mjini Beirut ili kuibebesha lawama harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Hizbullah hasa baada ya Marekani kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds, cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.

  • Mufti 'tipwatipwa' wa DAESH mwenye uzito wa kilo 245 atiwa nguvuni mjini Mosul, Iraq

    Mufti 'tipwatipwa' wa DAESH mwenye uzito wa kilo 245 atiwa nguvuni mjini Mosul, Iraq

    Jan 18, 2020 14:07

    Vikosi vya usalama vya Iraq vimemtia nguvuni Abu Abdul Bari, mufti wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS) katika mji wa Mosul, kaskazini mwa nchi hiyo. Abu Abdul Bari ni maarufu kwa utoaji fatua za kuwafanya wanawake watumwa, za ubakaji, utesaji na uangamizaji wa kimbari.

  • TV ya Saudia yamtimua mtangazaji wa Palestina kwa kutangaza mshikamano na Wayemen

    TV ya Saudia yamtimua mtangazaji wa Palestina kwa kutangaza mshikamano na Wayemen

    Jan 14, 2020 04:30

    Televisheni ya Saudi Arabia imemsimamisha kazi mtangazaji wake baada ya kubainika kwamba, amekuwa akituma ujumbe katika mtandao wa kijamii wa Twitter akitangza mshikamano wake na Wayemen na kulaani mashambulizi yanayofanywa na utawala wa Riyadh dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.

  • Ngome kubwa ya ISIS yaharibiwa kaskazini mwa Iraq

    Ngome kubwa ya ISIS yaharibiwa kaskazini mwa Iraq

    Jan 12, 2020 12:13

    Vikosi vya Kujitolea vya Wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi vimeharibu pango kubwa zaidi la magaidi wa ISIS (Daesh) kaskazini mwa Iraq.

  • Watu 30 wauawa katika mripuko wa bomu nchini Nigeria

    Watu 30 wauawa katika mripuko wa bomu nchini Nigeria

    Jan 07, 2020 08:06

    Kwa akali watu 30 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea karibu na daraja lenye shughuli nyingi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran; Ulimwengu mzima una wajibu wa kukabiliana na hatua ya kigaidi ya Marekani

    Waziri wa Ulinzi wa Iran; Ulimwengu mzima una wajibu wa kukabiliana na hatua ya kigaidi ya Marekani

    Jan 06, 2020 02:40

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa ulimwengu mzima una wajibu wa kukabiliana na hatua ya kigaidi ya Marekani ya kumuua shahidi Kamanda Qassem Soleimani; na watu wote wanapaswa kutekeleza majukumu yao mbele ya jinai hiyo.

  • Genge la Daesh (ISIS) lafanya jinai mpya nchini Nigeria

    Genge la Daesh (ISIS) lafanya jinai mpya nchini Nigeria

    Dec 28, 2019 07:49

    Wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamesambaza mkanda wa video unaoonyesha mauaji ya watu 11 ndani ya Krismasi.

  • Harakati ya Hashdush-Sha'abi yategua mabomu 100 nchini Iraq

    Harakati ya Hashdush-Sha'abi yategua mabomu 100 nchini Iraq

    Dec 12, 2019 08:00

    Harakati ya Wananchi ya Hashdush-Sha'abi nchini Iraq imefanikiwa kutegua mabomu 100 pamoja na mada za miripuko katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Harakati ya Hashdush-Sha'abi: Hatutaruhusu genge la Daesh kutishia usalama wa Iraq

    Harakati ya Hashdush-Sha'abi: Hatutaruhusu genge la Daesh kutishia usalama wa Iraq

    Dec 05, 2019 01:22

    Harakati ya wananchi ya Hashdush-Sha'abi nchini Iraq imetangaza kwamba, wanamuqawama wa harakati hiyo wameazimia vilivyo kutekeleza majukumu yao na kwamba kamwe hawatoruhusu kurejea nchini humo kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ili kutishia usalama na uthabiti wa Iraq.

  • Mgogoro wa Iraq na uwezekano wa kuibuka tena kundi la kigaidi la Daesh

    Mgogoro wa Iraq na uwezekano wa kuibuka tena kundi la kigaidi la Daesh

    Dec 04, 2019 00:40

    Kushika kasi harakati za mabaki ya wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq kumepelekea kuongezeka indhari kuhusiana na uwezekano wa kuibuka na kupata nguvu tena kundi hilo katika nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS