-
Ndege ya kijeshi ya Marekani yapeleka magaidi 29 wa Daesh (ISIS) nchini Algeria
Mar 26, 2019 03:07Duru za usalama za Algeria zimetangaza kuwa, magaidi 29 wa Daesh wapelekwa nchini humo kwa ndege ya kijeshi ya Marekani.
-
Russia, Syria na Human Rights Watch wakanusha madai ya Trump kuhusu ISIS
Mar 24, 2019 15:17Russia, Syria na Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch wamepinga madai ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kwamba magaidi wa Daesh (ISIS) wameshasambaratishwa kikamilifu katika nchi za Iraq na Syria.
-
Iraq yachunguza kuuzwa kwa wanawake wa Kiizadi katika nchi za Kiarabu
Mar 03, 2019 15:36Mwakilishi wa zamani wa kaumu wa Waizadi katika Bunge la Iraq amesema mpango wa kufanyika uchunguzi kuhusu ripoti ya kuuzwa wanawake wa kaumu hiyo huko Saudi Arabia na katika nchi nyingine za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi ungali unaendelea.
-
Syria: Marekani na Uturuki zinajua mahali alipo kiongozi wa DAESH (ISIS), Abu Bakr al-Baghdadi
Mar 03, 2019 02:26Syria imesema, Marekani na Uturuki zina taarifa za mahali alipo kiongozi wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) Ibrahim al-Samarrai, anayejulikana pia kama Abdu Bakr al-Baghdadi.
-
ICSR: Raia elfu 13 wa nchi za Ulaya ni wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh
Feb 25, 2019 07:08Kituo cha Kimataifa cha Kuchunguza Misimamo Mikali (ICSR) kimetangaza kuwa, zaidi ya raia elfu 13 wa nchi za Ulaya walikuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh tangu kundi hilo lilipoanzishwa hadi mwaka jana wa 2018 na kwamba, magaidi hao wa Ulaya wamejiunga na kundi hilo katika nchi za Iraq na Syria.
-
Baba yake Hoda Muthana awasilisha mashtaka rasmi dhidi ya serikali ya Marekani
Feb 23, 2019 03:45Baba wa binti Hoda Muthana ambaye alikuwa mwanachama wa kundi la kigaidi la Daesh huko Syria amewasilisha rasmi malalamiko yake kwa serikali ya Marekani.
-
Mtandao mkubwa wa kimataifa unaolifadhili kifedha DAESH Iraq wasambaratishwa
Feb 21, 2019 15:36Shirika la Intelijensia la Iraq limeeleza katika taarifa maalumu iliyotolewa leo, kwamba limeugundua na kuusambaratisha "mtandao mkubwa zaidi wa ufadhili wa kifedha" kwa ugaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hiyo.
-
Trump: Mwanamke mwanachama wa DAESH (ISIS) hana ruhusa ya kuingia Marekani
Feb 21, 2019 15:31Rais Donald Trump wa Marekani amesema, Hoda Muthana, mwanamke ambaye ni mwanachama wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS), hana ruhusa ya kuingia nchini humo. Trump ametoa agizo hilo pasi na kuashiria hatua zilizochukuliwa na serikali ya Washington katika kuanzisha na kuliunga mkono kundi hilo la ukufurishaji.
-
Mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) wajisalimisha kwa jeshi la Syria
Feb 21, 2019 07:41Idadi kubwa ya wachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) wamejisalimisha kwa jeshi la serikali ya Syria kutokana na kukaribia kuibuka mapigano makali kati ya magaidi hao na wapiganaji wa Kikurdi wanaoitwa 'Syrian Democratic Forces' katika eneo la Al-Baghuz, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Madai ya kichekesho ya Pompeo kuhusu kundi la kigaidi la Daesh
Feb 21, 2019 02:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametoa madai ya kichekesho akisema kuwa nchi yake itabadili mbinu za kukabiliana na kundi la kigaidi la Daesh.