Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Mkuu wa al Hashdu al Sha'abi: Iran imeisaidia Iraq katika mapambano dhidi ya Daesh

    Mkuu wa al Hashdu al Sha'abi: Iran imeisaidia Iraq katika mapambano dhidi ya Daesh

    Feb 18, 2019 02:32

    Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya al Hashdu al Sha'abi na Baraza la Usalama wa Taifa la Iraq amesema kuwa Iran ni nchi pekee ambayo iliisaidia Iraq katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi la Daesh.

  • Kamanda wa jeshi la Marekani akiri kwamba nchi hiyo imeshindwa huko Syria

    Kamanda wa jeshi la Marekani akiri kwamba nchi hiyo imeshindwa huko Syria

    Feb 16, 2019 01:26

    Kamanda wa kikosi maalumu cha jeshi la Marekani amekiri kwamba uingiliaji kijeshi wa nchi hiyo dhidi ya Syria haukuwa na mafanikio.

  • Safari ya kushtukiza ya Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Iraq

    Safari ya kushtukiza ya Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Iraq

    Feb 13, 2019 13:00

    Baada ya baadhi ya maeneo ya Iraq kudhibitiwa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mnamo mwezi Juni 2014, Marekani iliimarisha uwepo wake ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu sambamba na kuweka askari wake katika kambi kadhaa za kijeshi katika maeneo tofauti ya nchi hiyo.

  • CNN: Saudi Arabia imetuma silaha za Marekani kwa kundi la al Qaida huko Yemen

    CNN: Saudi Arabia imetuma silaha za Marekani kwa kundi la al Qaida huko Yemen

    Feb 05, 2019 07:39

    Televisheni ya CNN ya Marekani imefichua kuwa silaha zilizotumwa na nchi hiyo kwa muungano wa Saudi Arabia na Imarati huko Yemen zimekabidhiwa kwa makundi ya kigaidi hususan al Qaida.

  • Al Hashdu sh-Sha'abi: Mashambulizi yetu dhidi ya Daesh huko Syria yameua na kujeruhi magaidi 35

    Al Hashdu sh-Sha'abi: Mashambulizi yetu dhidi ya Daesh huko Syria yameua na kujeruhi magaidi 35

    Jan 19, 2019 07:38

    Kamanda wa Operesheni za mkoa wa Al Anbar za Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq amesema kuwa, katika mashambulizi ya jana ya harakati hiyo dhidi ya ngome za magaidi wa kundi la Daesh (ISIS), magaidi 35 wa genge hilo wameuawa na kujeruhiwa.

  • Al Hashdu sh-Sha'abi yashambulia ngome za magaidi wa Daesh Deir ez-Zor, Syria

    Al Hashdu sh-Sha'abi yashambulia ngome za magaidi wa Daesh Deir ez-Zor, Syria

    Jan 19, 2019 03:01

    Harakati ya Wananchi ya al Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq imefanya shambulizi dhidi ya ngome na maeneo ya magaidi wa kundi la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Deir ez-Zor nchini Syria, ambapo kwa akali magaidi 15 wameangamizwa.

  • Ndege za kijeshi za Iraq zaangamiza makamanda 30 wa Daesh nchini Syria

    Ndege za kijeshi za Iraq zaangamiza makamanda 30 wa Daesh nchini Syria

    Jan 01, 2019 08:14

    Ndege za kivita za Iraq zimeshambulia maficho ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh mashariki mwa Syria na kuangamiza makanda wasiopungua 30 wa genge hilo la ukifurishaji.

  • Dakta Zarif: Tangu awali kuweko Marekani nchini Syria kulikuwa kinyume cha sheria

    Dakta Zarif: Tangu awali kuweko Marekani nchini Syria kulikuwa kinyume cha sheria

    Dec 25, 2018 02:58

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katu Marekani haijawahi kupambana na kundi la kigaidi la Daesh na kwamba, Washington haikuwa nchini Syria kwa faida ya wananchi wa nchi hiyo wala kwa ridhaa ya serikali ya Damascus.

  • Daesh yafanya mauaji mengine ya kimbari, yaua wafungwa 700

    Daesh yafanya mauaji mengine ya kimbari, yaua wafungwa 700

    Dec 20, 2018 02:40

    Kundi la kigaidi la Daesh limefanya mauaji mengine ya kutisha huko mashariki mwa Syria kwa kuua wafungwa mia saba karibu na eneo lililoko kwenye mpaka wa nchi hiyo na Iraq.

  • Timu nyingine ya magaidi wa Daesh yasambaratishwa nchini Iraq

    Timu nyingine ya magaidi wa Daesh yasambaratishwa nchini Iraq

    Dec 08, 2018 15:34

    Vikosi vya ulinzi vya Iraq vimetangaza habari ya kusambaratishwa timu nyingine ya magaidi huko magharibi mwa mji wa al Ramadi, makao makuuu ya mkoa wa al Anbar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS