Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Daesh

  • Makundi ya kutetea haki za binadamu: Daesh imeua raia 5490 nchini Syria

    Makundi ya kutetea haki za binadamu: Daesh imeua raia 5490 nchini Syria

    Dec 01, 2018 02:42

    Jumuiya ya kutetea haki za binadamu nchini Syria imetangaza kuwa, kundi la kigaidi la Daesh limeua raia 5490 nchini Syria katika kipindi cha miezi 53 iliyopita.

  • Watu 7 wauawa katika shambulio la genge la kigaidi la ISIS kusini mashariki mwa Libya

    Watu 7 wauawa katika shambulio la genge la kigaidi la ISIS kusini mashariki mwa Libya

    Nov 24, 2018 07:12

    Vyombo vya habari vya Libya usiku wa kuamkia leo vimetangaza kuwa, wanamgambo wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) wameshambulia kituo kimoja cha polisi kusini mashariki mwa nchi hiyo na kuua watu wasiopungua saba na kujeruhi wengine 10.

  • Zaidi ya magaidi 24 wa ISIS wauawa nchini Iraq

    Zaidi ya magaidi 24 wa ISIS wauawa nchini Iraq

    Nov 17, 2018 16:30

    Zaidi ya magaidi 24 wa genge la ukufurishaji la Daesh (ISIS) wameuawa katika mashambulizi ya anga na nchi kavu yaliyofanywa kwenye maeneo tofauti na wanajeshi wa Iraq katika opereseheni ya kuyasafisha mabaki ya magaidi hao katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Taleban: Marekani na serikali ya Afghanistan zinalisaidia genge la Daesh (ISIS)

    Taleban: Marekani na serikali ya Afghanistan zinalisaidia genge la Daesh (ISIS)

    Nov 12, 2018 05:24

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya kundi la Taleban yenye makao yake mjini Qatar amesema kuwa, harakati za makundi ya kigaidi za Daesh (ISIS) nchini Afghanistan, ni mradi wa pamoja wa Washington na serikali ya Kabul.

  • Lavrov atahadharisha kuhusu hatari ya ugaidi duniani

    Lavrov atahadharisha kuhusu hatari ya ugaidi duniani

    Nov 08, 2018 08:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema ugaidi ungali upo kote ulimwenguni na ni jambo la hatari kwa nchi zote licha ya mafanikio yaliyopatikana katika mapambano dhidi ya janga hilo.

  • Gaidi mmoja Algeria aelezea namna Marekani inavyoshirikiana na magaidi wa ISIS

    Gaidi mmoja Algeria aelezea namna Marekani inavyoshirikiana na magaidi wa ISIS

    Nov 05, 2018 03:14

    Gaidi mmoja wa Algeria ambaye wakati fulani alijiunga na genge la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Syria ameiambia Mahakama ya al Dar al Baydhaa ya Algeria kuwa, wakati alipoingia Syria alipokewa na afisa mmoja wa jeshi la Marekani na kumpa mafunzo ya kutumia silaha yeye na wenzake kadhaa.

  • Ayatullah Sistani: Niliwataka Hashdu-Sha'abi wawalinde Masuni katika vita na DAESH (ISIS)

    Ayatullah Sistani: Niliwataka Hashdu-Sha'abi wawalinde Masuni katika vita na DAESH (ISIS)

    Oct 30, 2018 07:59

    Ayatullah Ali Sistani, marjaa taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq amesema: Katika vita na Daesh, alivitaka vikosi vya jeshi la kujitolea nchini humo la Hashdu-Sha'abi viwalinde Waislamu wa Kisuni raia wa nchi hiyo.

  • Magaidi wa ISIS walijizatiti vilivyo Iraq, maghala mengine ya kemikali yagunduliwa Salahuddin, al Anbar

    Magaidi wa ISIS walijizatiti vilivyo Iraq, maghala mengine ya kemikali yagunduliwa Salahuddin, al Anbar

    Oct 27, 2018 01:22

    Vikosi vya usalama vya Iraq vimegundua maghala mengine ya silaha za kemikali za genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika mikoa ya Salahuddin na al Anbar, jambo ambalo linathibitisha ni kiasi gani magaidi hao walikuwa wamejizatiti kwa silaha za kila namna hasa za kemikali na za mauaji ya umati.

  • Al Baghdadi aamuru kunyongwa mamia ya magaidi wa Daesh

    Al Baghdadi aamuru kunyongwa mamia ya magaidi wa Daesh

    Oct 11, 2018 08:08

    Abubakar al Baghdadi kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh ametoa amri ya kunyongwa magaidi 320 walio chini ya usimamizi wake kwa tuhuma za kufanya usaliti na kupelekea kupata kipigo kikali kundi hilo la kigaidi huko Iraq na Syria.

  • Uchunguzi: Libya inakabiliwa na kundi jipya la Daesh

    Uchunguzi: Libya inakabiliwa na kundi jipya la Daesh

    Oct 10, 2018 06:26

    Uchunguzi uliofanywa na mtandao wa al Wasat nchini Libya umebaini kuwa, hali ya kisiasa na kiusalama ya nchi hiyo inaanda mazingira ya kujitokeza kundi jipya la Daesh na kutahadharisha kuwa yumkini nchi hiyo ikawa makimbilio salama ya vinara wa makundi yenye misimamo ya kufurutu mipaka kutoka pembe mbalimbali za dunia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS