-
Jaji wa Marekani: Yumkini Trump akauzuliwa kutokana na kesi ya ufuska
Jun 06, 2018 02:53Jaji mmoja nchini Marekani amesema huenda Rais Donald Trump akauzuliwa iwapo atapatikana na hatia katika kesi ya ufuska iliyowasilishwa na mwanamke mmoja ambaye anadai kudhalilishwa naye kingono.
-
Balozi wa Marekani Russia: Kuna njia ndefu kabla ya kukutana Trump na Rais Putin
Jun 04, 2018 02:01Balozi wa Marekani nchini Russia amesema kuwa kuna njia ndefu sana kabla ya Marais Vladmir Putin wa Russia na Donald Trump wa Marekani kuweza kukutana.
-
Mjumbe wa UN: Trump ni chanzo cha kutokuwepo usawa wa kiuchumi nchini Marekani
Jun 02, 2018 22:12Philip Alston, Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya umasikini amesema kuwa, siasa na hatua za Rais Donald Trump wa Marekani, zimesababisha kuongezeka dhulma ya kiuchumi nchini humo.
-
Iran kuishtaki Marekani kwa kutumia ushahidi wa Trump
May 30, 2018 03:40Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inajiandaa kuishtaki Marekani kwa kushiriki kwa njia isiyo ya moja kwa moja katika mashambulizi ya kigaidi ya mwaka jana hapa nchini, kwa kutumia ushahidi wa Rais Donald Trump.
-
Trump na Shinzō Abe wapanga kuibana zaidi Korea Kaskazini
May 29, 2018 02:48Rais Donald Trump wa Marekani na Shinzō Abe, Waziri Mkuu wa Japan wamekubaliana kuhakikisha wanailazimisha Korea Kaskazin iachane na silaha zake za nyuklia na makombora ya balestiki.
-
Zarif: Stratejia mpya za Trump zitafanya Marekani itengwe zaidi
May 27, 2018 09:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema stratejia mpya zilizotangazwa hivi karibuni na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani eti dhidi ya Tehran zitaifanya Washington itengwe zaidi kimataifa.
-
IMF: Marekani iangalie upya sera zake dhidi ya Iran na Russia
May 26, 2018 03:13Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha Duniani IMF amemuasa Rais Donald Trump wa Marekani kuangalia upya sera zake za kushadidisha vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia.
-
Kongresi ya Marekani yampiga marufuku Trump kutangaza vita dhidi ya Iran
May 25, 2018 22:36Wabunge wa Kongresi ya Marekani wamepasisha kwa kauli moja muswada wa marekebisho ya sheria inayompiga marukufu Rais Donald Trump kutangaza vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bila ridhaa ya Bunge hilo.
-
Mwanahistoria wa Marekani: Trump atafikwa na hatima sawa na ya Nixon
May 22, 2018 03:26Mwanahistoria mashuhuri wa Marekani ametabiri kuwa urais wa Donald Trump utafikia tamati kwa kusailiwa kiongozi huyo.
-
Donald Trump awatusi tena wahajiri kwa kuwaita kuwa ni wanyama
May 19, 2018 02:15Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine ametoa matamshi mabaya yenye kuwavunjia heshima wahajiri au wahamiaji nchini humo kwa kuwataja kuwa ni wanyama.