Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Trump: Huenda kiongozi wa Korea Kaskazini akapatwa na hatima kama ya Gaddafi

    Trump: Huenda kiongozi wa Korea Kaskazini akapatwa na hatima kama ya Gaddafi

    May 18, 2018 23:43

    Rais Donald Trump wa Marekani amemuonya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un kuwa huenda akapatwa na hatima kama iliyomfika kiongozi wa zamani wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi, iwapo Pyongyang haitaachana na mradi wake wa silaha za nyuklia.

  • Leon Panetta: Serikali ya Trump inaficha ukweli kuhusiana na vita vya Afghanistan

    Leon Panetta: Serikali ya Trump inaficha ukweli kuhusiana na vita vya Afghanistan

    May 14, 2018 22:11

    Waziri wa zamani wa Ulinzi nchini Marekani Leon Panetta ameikosoa serikali ya Rais Donald Trump kwa kuficha ukweli wa mambo kuhusiana na kile kinachoendelea kuhusu vita nchini Afghanistan.

  • Kansela wa Ujerumani Merkel apoteza matumaini kuhusu Marekani

    Kansela wa Ujerumani Merkel apoteza matumaini kuhusu Marekani

    May 11, 2018 03:44

    Kansela Angela Merkel wa Ujerumani kwa mara nyingine amesema nchi za Ulaya haziwezi kuendelea kuitegemea Marekani katika masuala ya kijeshi na kujihami. Merkel amewataka waitifaki wa Ujerumani barani Ulaya wachukue hatima ya bara hilo mikononi mwao kwani Marekani haiwezi kutegemewa tena.

  • Waislamu wa Marekani wana hatari ya kunyanyaswa zaidi mwezi wa Ramadhani

    Waislamu wa Marekani wana hatari ya kunyanyaswa zaidi mwezi wa Ramadhani

    May 10, 2018 10:01

    Baraza la Uhusiano wa Marekani na Uislamu limetaka kuchukuliwa hatua za lazima za kuimarisha usalama kwa ajili ya kuwalinda Waislamu ambao wana hatari ya kukumbwa na mashambulizi na unyanyasaji zaidi katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.

  • Wanachuo na wahadhiri nchini Iran walaani matamshi machafu ya rais wa Marekani

    Wanachuo na wahadhiri nchini Iran walaani matamshi machafu ya rais wa Marekani

    May 09, 2018 22:53

    Wahadhiri, wanachuo na jumuiya za wanachuo nchini wameandamana na kukusanyika mbele ya 'Pango la Ujasusi' la uliokuwa ubalozi wa Marekani hapa mjini Tehran kulaani maneno machafu aliyotoa rais wa Marekani.

  • Yukiya Amano: Iran imefungamana kikamilifu na makubaliano ya nyuklia

    Yukiya Amano: Iran imefungamana kikamilifu na makubaliano ya nyuklia

    May 09, 2018 09:40

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwa mara nyingine tena amethibitisha kwamba, Iran imeheshimu na kufungamana kikamilifu na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Walimwengu wajibu ujuba wa Marekani wa kujitoa katika JCPOA, Israel na Saudia zamuunga mkono Trump

    Walimwengu wajibu ujuba wa Marekani wa kujitoa katika JCPOA, Israel na Saudia zamuunga mkono Trump

    May 09, 2018 03:27

    Umoja wa Ulaya, viongozi mbalimbali wa nchi za Ulaya, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na wengine wengi wametoa majibu makali dhidi ya hatua ya kijuba ya rais wa Marekani ya kupuuza maamuzi ya walimwengu na ya Umoja wa Mataifa na kutangaza kujitoa katika mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA.

  • Bloomberg: Mashirika ya Boeing na Airbus ya Marekani yapata hasara kubwa kwa kujitoa Trump katika JCPOA

    Bloomberg: Mashirika ya Boeing na Airbus ya Marekani yapata hasara kubwa kwa kujitoa Trump katika JCPOA

    May 09, 2018 03:21

    Mashirika mawili makubwa ya kutengeneza ndege ya Boeing na Airbus ya nchini Marekani yatapata hasara kubwa ya dola bilioni 40 baada ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Wakili wa Marekani: Nyaraka za kashfa ya ngono zitamfanya Trump alazimike kujiuzulu

    Wakili wa Marekani: Nyaraka za kashfa ya ngono zitamfanya Trump alazimike kujiuzulu

    May 06, 2018 22:29

    Wakili wa muigizaji mmoja wa filamu za ngono nchini Marekani ambaye amedai kuwa aliwahi huko nyuma kuwa na uhusiano wa kimapenzi na rais wa nchi hiyo amesema, kuwekwa hadharani nyaraka za sakata hilo kutamfanya Trump alazimike kujiuzulu.

  • Matamshi ya Trump yaamsha hasira za wananchi na viongozi wa Ufaransa na Uingereza

    Matamshi ya Trump yaamsha hasira za wananchi na viongozi wa Ufaransa na Uingereza

    May 06, 2018 12:07

    Matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mashambulio ya kigaidi yaliyotokea Ufaransa na Uingereza yameamsha hasira za wananchi na viongozi wa nchi hizo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS