-
Waziri wa Ujerumani: Uhusiano wa Ulaya na Marekani hautorudi tena katika zama za kabla ya Trump
Dec 05, 2017 12:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema, katika zama za urais wa Donald Trump nafasi ya nguvu za kisiasa za Marekani duniani si kama ilivyokuwa huko nyuma.
-
Radiamali ya OIC kwa siasa za Rais Trump kuhusiana na Quds
Dec 05, 2017 10:03Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imemtahadharisha Rais Donald Trump wa Marekani kuhusiana na kuutambua mji wa Quds kama mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.
-
Korea Kaskazini: Trump ni 'jini mbaya wa nyuklia' na 'mvurugaji amani ya dunia'
Dec 03, 2017 03:42Korea Kaskazini imesema Rais Donald Trump wa Marekani na serikali yake "wanabembeleza vitokee vita vya nyuklia" huku Washington na muitifaki wake katika Peninsula ya Korea, yaani Korea Kusini zikijiandaa kufanya manuva makubwa ya kijeshi ya angani.
-
Padri maarufu Marekani ajitoa kwenye chama cha Republican; asema Trump atachochea vita kwa sababu ya asili za watu
Dec 02, 2017 23:17Padri maarufu mwanachama wa chama cha Republican nchini Marekani ameamua kujitoa kwenye chama hicho kwa maelezo kwamba misimamo na matamshi yanayotolewa na rais wa nchi hiyo Donald Trump yanachochea vita ambavyo sababu yake itakuwa ni rangi na asili za watu.
-
UN yamkosoa Rais Trump wa Marekani kwa kueneza chuki dhidi ya Uislamu
Dec 02, 2017 00:43Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu Wa Umoja wa Mataifa, Zeid Ra'ad Al Hussein amekosoa hatua ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani, Donald Trump aliyesambaza taswira zilizo na chuki dhidi ya Uislamu kupitia akaunti yake ya Twitter.
-
Kushadidi hatua za chuki za Trump dhidi ya Uislamu
Nov 30, 2017 23:16Kitendo cha Rais Donald Trump wa Marekani cha kusambaza tena filamu za vidio za propaganda za chuki dhidi ya Uislamu kupitia ukurasa wake wa Twitter kimezusha moto wa ghadhabu na hasira duniani. Hatua hiyo ya Trump ya kuweka tena filamu hizo za vidio za kuchochea chuki dhidi ya Uislamu imelaaniwa kuanzia ndani ya Marekani na wapinzani wake mpaka na viongozi wa nchi nyengine duniani.
-
Sadiq Khan ataka kufutwa safari ya Trump nchini Uingereza
Nov 30, 2017 13:00Meya wa mji wa London ameomba kufutwa ziara rasmi ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Uingereza.
-
Kombora la Korea Kaskazini lamhamakisha Trump, sasa amwita kiongozi wa nchi hiyo 'kijibwa kigonjwa'
Nov 30, 2017 04:36Rais Donald Trump wa Marekani amekurupuka tena na kutumia lugha ya matusi kwa kumwita kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un 'kijibwa kigonjwa' kufuatia jaribio la kombora la balestiki la masafa marefu zaidi lililofanywa na nchi hiyo ambalo lina uwezo wa kulenga sehemu yoyote ya ardhi ya Marekani.
-
Donald Trump atangazwa kuwa nembo ya kupiga vita Uislamu mwaka 2017
Nov 27, 2017 04:42Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu (IHRC) yenye makao yake mjini London nchini Uingereza imemtangaza Rais Donald Trump wa Marekani kuwa ndio nembo ya propaganda chafu dhidi ya Uislamu katika mwaka huu wa 2017.
-
Joe Biden: Natarajia kwamba Trump hatakariri tena katika historia ya Marekani
Nov 15, 2017 00:22Makamu wa rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden amesema kuwa anatarajia kuwa Donald Trump ni hali ya kipekee katika historia ya Marekani na kwamba rais mwingine mithili yake hataingia katika Ikulu ya White House.