Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Korea Kaskazini: Safari ya Trump mashariki mwa Asia haina faida yoyote

    Korea Kaskazini: Safari ya Trump mashariki mwa Asia haina faida yoyote

    Nov 09, 2017 11:22

    Serikali ya Korea Kaskazini imetoa radiamali kufuatia vitisho vipya vya Rais Donald Trump wa Marekani katika safari yake ya kutembelea eneo la mashariki mwa Asia.

  • Baraza la Senate la Marekani laweka vikwazo vikali vya benki dhidi ya Korea Kaskazini

    Baraza la Senate la Marekani laweka vikwazo vikali vya benki dhidi ya Korea Kaskazini

    Nov 08, 2017 04:20

    Kamati ya masuala ya benki ya baraza la Senate la Marekani, usiku wa kuamkia leo Jumatano imepasisha muswada wa kuiwekea Korea Kaskazini vikwazo vikali zaidi vya benki.

  • Wamarekani waandamana wakitaka kubanwa umiliki wa silaha baada ya mauaji ya Texas

    Wamarekani waandamana wakitaka kubanwa umiliki wa silaha baada ya mauaji ya Texas

    Nov 07, 2017 04:48

    Wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika mji wa Washington kushinikiza kuangaliwa upya suala la umiliki na ruhusa ya kubeba silaha nchini humo, kufuatia mauaji ya makumi ya watu katika shambulizi la ufyatuaji risasi katika jimbo la Texas.

  • Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Tabianchi waanza  Ujerumani

    Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Tabianchi waanza Ujerumani

    Nov 06, 2017 23:13

    Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Tabianchi ulianza jana Jumatatu na utaendelea hadi tarehe 17 Novemba katika mji mwa Bonn nchini Ujerumani.

  • Maelfu ya wananchi wa Korea Kusini waandamana dhidi ya Trump

    Maelfu ya wananchi wa Korea Kusini waandamana dhidi ya Trump

    Nov 05, 2017 11:17

    Maelfu ya wananchi wa Korea Kusini wamefanya maandamano ya kukashifu kile wanachotaja kama chokochoko za Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Asia, dhidi ya Korea Kaskazini.

  • White House: Vita vya Iraq lilikuwa kosa kubwa zaidi kufanywa kwenye sera za nje katika historia ya Marekani

    White House: Vita vya Iraq lilikuwa kosa kubwa zaidi kufanywa kwenye sera za nje katika historia ya Marekani

    Nov 05, 2017 04:36

    Ikulu ya Marekani White House imejibu mapigo kwa ukosoaji wa Bush baba na mwana, marais wa zamani wa nchi hiyo kwa rais wa sasa Donald Trump kwa kuzikosoa vikali sera za Marekani wakati wa uongozi wao na kueleza kwamba vita vya Iraq ni "kosa kubwa zaidi kufanywa kwenye sera za nje katika historia ya Marekani".

  • Akthari ya watu wa bara la Ulaya wanamchukia Trump

    Akthari ya watu wa bara la Ulaya wanamchukia Trump

    Nov 04, 2017 23:41

    Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa unaonyesha kuwa akthari ya watu katika nchi za Ulaya wanamchukia Rais wa Marekani Donald Trump.

  • Trump aanza safari yenye mashaka mengi barani Asia

    Trump aanza safari yenye mashaka mengi barani Asia

    Nov 04, 2017 04:21

    Rais Donald Trump wa Marekani ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Asia baada ya kusimama kwa muda mfupi katika jimbo la Hawaii.

  • Rais Rouhani alikataa ombi la Trump la kufanya mazungumzo ya moja kwa moja

    Rais Rouhani alikataa ombi la Trump la kufanya mazungumzo ya moja kwa moja

    Nov 03, 2017 23:11

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikataa katakata ombi la Rais Donald Trump wa Marekani la kufanya mazungumzo ya moja kwa moja, limeandika gazeti la Washington Post.

  • Wamarekani zaidi ya milioni moja waunga mkono mpango wa kuuzuliwa Trump

    Wamarekani zaidi ya milioni moja waunga mkono mpango wa kuuzuliwa Trump

    Nov 01, 2017 01:01

    Saini zaidi ya milioni moja zimekusanywa ndani ya siku kumi nchini Marekani katika kampeni ya kutaka kuondolewa madarakani Rais Donald Trump wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS