Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Donald Trump

  • Kuendelea kukosolewa siasa za Trump kuhusiana na mabadiliko ya tabianchi

    Kuendelea kukosolewa siasa za Trump kuhusiana na mabadiliko ya tabianchi

    Sep 13, 2017 08:19

    Katika hali ambayo kimbunga cha Irma bado kinaendelea kuyakumba maeneo kadhaa ya Marekani, baadhi ya duru za kisiasa na vyombo vya habari nchini humo vimeonyesha wasi wasi wao kuhusiana na siasa za Rais Donald Trump katika uwanja wa mabadiliko ya tabianchi.

  • Seneti na Kongresi ya Marekani uso kwa uso na Trump kuhusu ubaguzi wa rangi

    Seneti na Kongresi ya Marekani uso kwa uso na Trump kuhusu ubaguzi wa rangi

    Sep 13, 2017 04:01

    Katika hatua ya kuonesha kutorishwa kwake na Rais Donald Trump wa Marekani Kongresi ya nchi hiyo imemtaka kiongozi huyo alaani vikali na waziwazi makundi ya wabaguzi wa rangi na wazungu wanaojitambua kuwa bora na juu ya zaidi ya wanadamu wengine.

  • Seneti ya Marekani yamtaka Trump alaani waziwazi makundi ya ubaguzi wa rangi

    Seneti ya Marekani yamtaka Trump alaani waziwazi makundi ya ubaguzi wa rangi

    Sep 12, 2017 10:27

    Baraza la Seneti la Marekani limepasisha azimio likilaani harakati za makundi ya wazungu wanaojitambua kuwa bora zaidi ya wanadamu wengine.

  • New York Times: Mgogoro wa Qatar umemshinda Trump

    New York Times: Mgogoro wa Qatar umemshinda Trump

    Sep 10, 2017 10:04

    Gazeti la New York Times la nchini Marekani limesema kuwa, rais wa nchi hiyo, Donald Trump ameshindwa kutatua mgogoro wa Qatar na nchi nne za Kiarabu zinazoongozwa na Saudia.

  • New York Times: Marekani ndio itapata pigo kubwa ikiwa itajiondoa katika JCPOA

    New York Times: Marekani ndio itapata pigo kubwa ikiwa itajiondoa katika JCPOA

    Sep 09, 2017 12:00

    Gazeti la New York Times sambamba na kuvitaja kuwa vichekesho visingizio vinavyotolewa na Marekani ili kutaka kujiondoa katika mkataba wa makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya Iran na kundi la 5+1 yanayofahamika kama JCPOA, limeionya Washington kuwa itapata hasara kubwa endapo itachukua hatua hiyo.

  • Onyo la Putin kuhusu hatari ya kugeuka mgogoro wa Korea kuwa janga la kimataifa

    Onyo la Putin kuhusu hatari ya kugeuka mgogoro wa Korea kuwa janga la kimataifa

    Sep 08, 2017 01:57

    Rais Vladimir Putin wa Russia ameonya kuwa, kuendelea mgogoro wa hivi sasa uliojitokeza baada ya majaribio ya makombora na bomu la nyuklia ya Korea Kaskazini kunaweza kuleta maafa makubwa kwa dunia nzima.

  • Kiongozi wa CIA amuonya Trump kutokana na matamshi yake makali dhidi ya Korea Kaskazini

    Kiongozi wa CIA amuonya Trump kutokana na matamshi yake makali dhidi ya Korea Kaskazini

    Sep 04, 2017 11:39

    Mkuu wa zamani wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA, Michael Hayden amemuonya Rais Donald Trump wa Marekani kutokana na kutoa matamshi makali dhidi ya Korea Kaskazini.

  • Trump akiri kuwa hivi sasa Marekani inakabiliwa na matatizo makubwa ya kiuchumi

    Trump akiri kuwa hivi sasa Marekani inakabiliwa na matatizo makubwa ya kiuchumi

    Aug 31, 2017 02:42

    Rais Donald Trump wa Marekani amekiri kuwa matatizo ya kiuchumi nchini humo yameongezeka mara dufu kuliko wakati mwingine wowote ule.

  • UN: Trump anachochea hujuma dhidi ya waandishi wa habari

    UN: Trump anachochea hujuma dhidi ya waandishi wa habari

    Aug 30, 2017 22:22

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa, kitendo cha Rais Donald Trump wa Marekani cha kukejeli na kuvipaka matope vyombo vya habari huenda kikachochea hujuma dhidi ya waandishi wa habari.

  • Trump; mchochezi wa ubaguzi wa rangi nchini Marekani

    Trump; mchochezi wa ubaguzi wa rangi nchini Marekani

    Aug 28, 2017 23:54

    Msimamo uliochukuliwa na rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu machafuko ya hivi karibuni ya mjini Charlottesville huko Virginia na hatua yake ya kuwaunga mkono wabaguzi wa rangi walioshadidisha machafuko hayo unaendelea kulaaniwa na kulalamikiwa vikali ndani na hata nje ya Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS