-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani akosoa matamshi ya kibaguzi ya rais wa nchi hiyo
Aug 28, 2017 02:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekosoa matamshi ya kibaguzi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
-
Trump, rais anayechukiwa zaidi katika historia ya Marekani
Aug 26, 2017 10:56Rais Donald Trump wa Marekani ameshinda tuzo ya kuwa rais anayechukiwa zaidi katika historia ya nchi hiyo.
-
Clinton: Trump ni mtu mchafu, mpapasaji wanawake
Aug 24, 2017 09:27Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton aliyechuana na Donald Trump katika kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa Marekani amesema katika kitabu chake kitakachochapishwa siku chachde zijazo kuhusu matukio ya kampeni za uchaguzi huo kwamba Trump ni mtu mchafu na muovu.
-
Boston Herald: Warepublican wametiwa wasiwasi na hatua za Rais Trump
Aug 21, 2017 22:10Gazeti moja linalochapishwa nchini Marekani limeandika katika ripoti yake kuwa wawakilishi wa chama cha Republican wanatiwa wasiwasi na hatua zinazochukuliwa na Rais wa nchi hiyo.
-
Imamu wa jamaa katika jimbo la Michigan US, asema Trump kuwa ni mnafiki
Aug 21, 2017 03:50Imamu wa jamaa wa kituo cha Kiislamu katika jimbo la Michigan nchini Marekani, amesema kuwa misimamo ya kibaguzi ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo ni alama ya wazi ya undumakuwili na miamala isiyozingatia usawa.
-
Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Mahusiano ya Kiislamu US akosoa matamshi ya kibaguzi ya Trump
Aug 20, 2017 22:02Mkuu wa Ofisi ya Baraza la Mahusiano ya Kiislamu nchini Marekani katika eneo la kaskazini mwa jimbo la Texas amekosoa vikali matamshi ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo katika kuunga mkono kundi la wazungu wanaojikweza na kujiona bora kuliko watu wengine.
-
Mshauri wa masuala ya kidini wa Trump ajiuzulu kupinga sera za kibaguzi za rais wa Marekani
Aug 19, 2017 23:52Mchungaji wa Kanisa la New York amejiuzulu kama mshauri wa masuala ya kidini wa Rais Donald Trump wa Marekani akipinga uungaji mkono wa kiongozi huyo kwa makundi ya wabaguzi wa rangi.
-
Trump: Waueni Waislamu kwa risasi zilizotumbukizwa kwenye damu ya nguruwe
Aug 18, 2017 03:39Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa kutoa kauli za chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu, Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayoashiria kutaka baadhi ya waumini wa Kiislamu kuuawa kwa kutumia risasi zilizotumbukizwa kwenye damu ya nguruwe.
-
Mwanastratijia wa Trump: Mgogoro wa Korea Kaskazini hauna njia ya utatuzi wa kijeshi
Aug 17, 2017 23:36Mwanastratijia wa ngazi ya juu wa ikulu ya Marekani (White House) ametoa matamshi yanayopingana na vitisho vya Rais Donald Trump wa nchi hiyo dhidi ya Pyongyang na kusema kuwa, suala la Korea Kaskazini halina njia ya utatuzi wa kijeshi.
-
Venezuela yajibu mapigo baada ya vitisho vya uingiliaji kijeshi wa Trump
Aug 15, 2017 03:05Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameliagiza jeshi la nchi hiyo kufanya luteka ya nchi nzima ikiwa ni radiamali kwa vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani aliyesema kuwa chaguo la kuishambulia kijeshi nchi hiyo lipo mezani.