-
The Guardian: Trump anajifanya tu mbabe lakini ni mtu dhaifu
Mar 09, 2025 11:23Gazerti la The Guardian la nchini Uingereza limeandika makala maalumu kuhusu misimamo dhaifu ya rais wa Marekani, Donald Trump katika masuala tofauti na kusema kuwa, ijapokuwa rais huyo anajifanya mbabe, lakini ni mtu dhaifu na vitisho vyake havina maana.
-
Trump na kukandamizwa uhuru wa kusema huko Marekani
Mar 08, 2025 04:23Gazeti la Marekani la Washington Post limeandika makala likiashiria amri za utendaji zilizotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, tangu aingie madarakani na kusema: Wakosoaji wanamtuhumu kuwa anakandamiza sana uhuru wa kujieleza na kukiuka Katiba ya Marekani.
-
Kenya yaiamuru TikTok iondoe maudhui za kingono zinazowalenga watoto
Mar 07, 2025 07:17Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kenya imeutaka mtandao wa kijamii wa China wa TikTok uondoe maudhui za kingono zinazowalenga na kuwaathiri watoto.
-
UN: Tuna wasiwasi kuhusu mwelekeo wa White House
Mar 04, 2025 02:59Kamishna wa Haki za Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk ameelezea wasiwasi wake kuhusu mabadiliko ya mwelekeo yanayofanyika nchini Marekani katika uwanja wa ndani na kimataifa.
-
Misaada ya kijeshi na silaha ambayo haijawahi kutolewa mfano wake ya serikali ya Trump kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 04, 2025 02:58Sambamba na Marekani kukata misaada yake kwa Ukraine, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, siku ya Jumapili alitumia mamlaka ya dharura aliyonayo kisheria kupitisha mpango wa utoaji msaada wa shehena ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 4 kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mazungumzo yaliyogubikwa na mvutano mkubwa kati ya Trump na Zelensky
Mar 01, 2025 13:36Viongozi wenye mielekeo ya Kimagharibi wa Ukraine waliipa mgongo Russia baada ya matukio ya mwaka 2014 na kuingia madarakani serikali kibaraka kwa Magharibi huko Ukraine kwa himaya na msaada wa pande zote wa nchi za magharibi hususan Marekani na Ulaya; na walitaka nchi hiyo kujiunga na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) na Umoja wa Ulaya (EU) na kukata uhusiano na Russia.
-
Zelenskyy akataa kuomba msamaha kwa Trump; Asema: "sikufanya lolote baya"
Mar 01, 2025 10:07Rais wa Ukraine amekataa kuomba msamaha baada ya mabishano makali na majibizano ya maneno na mwenzake wa Marekani, Donald Trump katika Ikulu ya White House.
-
Kimenuka Marekani; Mawaziri wa zamani wa ulinzi wamjia juu Trump
Mar 01, 2025 03:48Mawaziri watano wa zamani wa ulinzi wa Marekani wamelaani hatua ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump ya kumfukuza kazi Mkuu wa Majeshi na maafisa wengine wakuu wa jeshi la Marekani.
-
Trump arefusha muda wa vikwazo dhidi ya Russia
Feb 28, 2025 07:31Rais wa Marekani Donald Trump ameongeza kwa mwaka mmoja mwingine muda wa amri ya utekelezaji vikwazo dhidi ya Russia.
-
Waislamu Uhispania wahuisha mila ya karne 5 zilizopita ya Andalusia ya kwenda Hija kwa farasi
Feb 26, 2025 11:43Marafiki watatu kutoka Uhispania wameamua kutumia usafiri wa farasi katika safari yao ya kuelekea Makka, Saudi Arabia kwa ajili ya kutekeleza ibada ya Hija yao kwa madhumuni ya kuhuisha mila na desturi ya tangu miaka 500 nyuma wa Waislamu wa Andalusia ya wakati huo.