-
Washauri wa Trump washangazwa na uongo wake kuhusu Iran
Jan 22, 2020 03:16Vyombo vya habari vya Marekani vimefichua kwamba, madai yaliyotolewa na rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwamba Iran ilikuwa na nia ya kushambulia balozi nne za Marekani yamewashangaza na kuwaacha bumbuazi hata washauri wake mwenyewe.
-
Uchunguzi wa maoni wa CNN: Wamarekani wengi wanataka Trump atimuliwe
Jan 21, 2020 07:00Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kuwa, Wamarekani wengi wanataka Rais Donald Trump wa nchi hiyo ahukumiwe na kuondolewa madarakani.
-
Maelfu ya wanawake waandamana dhidi ya Trump nchini Marekani
Jan 19, 2020 04:32Makumi ya maelfu ya wanawake wameshiriki maandamano katika miji mikubwa ya Marekani ukiwemo mji mkuu Washington, kupinga sera za kibaguzi za Rais Donald Trump wa nchi hiyo dhidi ya wanawake.
-
Njama za Marekani za kutaka kuficha hasara kubwa za shambulizi la makombora ya Iran huko Ainul Asad
Jan 18, 2020 09:13Katika jitihada zake za kutimiza ahadi ya kulipiza kisasi kikali dhidi ya Marekani kutokana na mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na nchi hiyo dhidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani na wana jihadi wenzake, Alfajii ya Jumatano tarehe 8 Januari Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilishambulia kambi kubwa zaidi ya wanajeshi wa Marekani nchini Iraq ya Ainul Asad.
-
Kukosolewa njama za Marekani za kukatiwa bajeti Shirika la UNRWA
Jan 17, 2020 23:23Tangu Rais Donald Trump wa Marekani ashike hatamu za uongozi na kuingia katika ikulu ya nchi hiyo White House, alichukua mkondo wa kuuunga mkono kibubusa na bila masharti yoyote utawala haramu wa Israel na siasa za kuwa dhidi ya Wapalestina.
-
Kufichuka siri ya Trump alivyoishinikiza Troika ya Ulaya itekeleze 'Utaratibu wa Kifyatuo' katika JCPOA
Jan 16, 2020 23:18Licha ya madai zinayotoa nchi za Ulaya kuhusu ulazima wa kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Troika ya nchi hizo inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza, siku ya Jumanne ya tarehe 14 Januari iliamua kutekeleza utaratibu wa kusuluhisha mzozano katika JCPOA, ambao kimsingi unatoa kitisho kwa Iran cha kuwekewa tena vikwazo vya nyuklia vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Sisitizo la Maduro kuhusu uungaji mkono wa Marekani kwa magaidi na makundi yenye kuchupa mipaka ndani ya Venezuela
Jan 16, 2020 08:41Katika kipindi cha uongozi wa Rais Doland Trump, Marekani imehusika na njama nyingi za kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela na Rais wake Nicolás Maduro ili kumweka madarakani kibaraka wa Washington na kiongozi wa upinzani nchini humo Juan Guaidó; na inatumia kila wenzo kwa ajili ya kufikia lengo hilo.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia amjibu Trump anayelilia Tuzo ya Nobel
Jan 15, 2020 23:02Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amejibu matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani aliyedai hivi karibuni kuwa yeye ndiye aliyepaswa kupewa Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka jana 2019 na kusisitiza kuwa, Trump anapaswa kuwasilisha malalamiko yake kwa Kamati Andalizi ya Tuzo ya Nobel na sio kwa taifa hilo la Pembe ya Afrika.
-
"Trump, Pompeo na Daesh pekee ndio wanaosherehekea kuuliwa Soleimani"
Jan 15, 2020 23:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS), Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Mike Pompeo ndio pekee wanaosherehekea na kufurahia kuuliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Bwabwaja mpya za Trump kuhusiana na mauaji ya Luteni Jenerali Qassim Soleimani
Jan 14, 2020 23:18Januari 3 mwezi huu, Marekani ilichukua hatua ya kijinai na isiyo ya kisheria ya kumuua Luteni Jenerali Qassim Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na Naibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Hashd al-Shaabi ya Iraq pamoja na watu waliokuwa wamefuatana nao.