-
Putin na Erdogan: Hatua ya Trump ina madhara kwa amani ya Mashariki ya Kati
Dec 07, 2017 23:38Marais wa Russia na Uturuki wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kuitaja hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuutambua rasmi mji mtakatifu wa Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni kuwa ni hatari na kwa madhara ya amani ya Mashariki ya Kati.
-
Marais wa Iran na Uturuki watoa wito wa kusimama kidete dhidi ya njama mpya huko Palestina
Dec 06, 2017 11:35Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wametoa wito wa kusimama kidete na kuchukuliwa hatua za maana kwa ajili ya kukabiliana na njama mpya dhidi ya taifa madhulumu la Palestina.
-
Rais Erdoğan aichoma moyo Saudia, asisitiza kuendelea kuiunga mkono Qatar
Nov 16, 2017 04:39Katika kile kinachonekana kuwa ni kuwachoma moyo viongozi wa Saudi Arabia katika mgogogro unaoendelea kati ya nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi, Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesisitizia uungaji mkono wake kwa Qatar.
-
Rais wa Uturuki akosoa kauli ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi kuhusu Uislamu
Nov 12, 2017 04:08Katika msururu wa kurushiana maneneo viongozi wa Saudi Arabia na Uturuki, Rais Reccep Tayyip Erdogan wa Uturuki amekosoa vikali matamshi ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia Mohammad Bin Salman kuhusu kile alichodai kuwa ni "Uislamu wa misimamo ya wastani."
-
Kiongozi Muadhamu: Utawala wa Kizayuni unataka kuunda Israel mpya katika eneo hili
Oct 04, 2017 14:39Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo usiku ameonana na Rais Recep Tayyip Erdogan na ujumbe alioandamana nao hapa mjini Tehran na kusisitiza kwamba kuna ulazima wa kuongezwa kiwango cha ushirikiano wa nchi mbili kama ambavyo pia ni jambo muhimu sana kuweko maelewano na ushirikiano baina ya Iran na Uturuki katika masuala muhimu ya ulimwengu wa Kiislamu.
-
Safari ya Rais wa Russia nchini Uturuki; juhudi za kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili
Sep 29, 2017 04:27Alkhamisi ya jana tarehe 28 Septemba, Rais Vladimir Putin wa Russia alikutana na kufanya mazungumzo mjini Ankara Uturuki na Rais wa nchi hiyo Recep Tayyip Erdoğan, ambapo viongozi hao wawili wamebadilishana mawazo kuhusiana na hali ya mambo katika eneo la Mashariki ya Kati pamoja na uhusiano wa pande mbili.
-
Erdogan: Mauaji ya Waislamu wa Warohingya ni ya kimbari
Sep 02, 2017 03:12Rais wa Uturuki Recep Teyyip Erdogan ameyataja mauaji ya mamia ya Waislamu wa kabila la Rohingya huko Myanmar kama mauaji ya kimbari.
-
Wapinzani Uturuki: Chama cha Rais Tayyip Erdoğan hakina tofauti na Daesh
Aug 19, 2017 10:27Wapinzani wa serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki wamekosoa misimamo ya kiongozi huyo kuhusiana na suala la kulinda turathi za kihistoria na kuongeza kuwa, serikali ya nchi hiyo haina tofauti na makundi ya kigaidi na ukufurishaji hususan Daesh.
-
Erdogan: Waislamu hawawezi kufumbia macho mgogoro wa al-Aqsa
Jul 23, 2017 23:28Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekosoa vikali hatua kandamizi za usalama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji wa Quds Tukufu na kusisitiza kuwa katu Waislamu hawawezi kunyamazia kimya jinai hizo.
-
Naibu Spika wa Ujerumani: Erdogan anataka kuiendesha Uturuki kidikteta
Jul 17, 2017 02:44Naibu Spika wa Bunge la Ujerumani amesema kuwa Rais wa Uturuki anataka kuiendesha nchi hiyo kidikteta na kwa msingi huo amesema Ujerumani inapasa kuwaunga mkono wapinzani wa serikali ya Ankara.