-
Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki: Tutaendelea kuwa pamoja na Qatar
Jun 25, 2017 15:45Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki sambamba na kuunga mkono msimamo wa Qatar kuhusu matakwa ya baadhi ya nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi amesema kuwa, nchi yake itaendelea kuwa pamoja na Doha.
-
Merkel ajibu tuhuma zilizoelekezwa kwake na Erdogan
Mar 14, 2017 06:55Kansela wa Ujerumani amesema kuwa, tuhuma zilizotolewa na Rais wa Uturuki dhidi yake kuhusu kuwaunga mkono magaidi hazina msingi wowote.
-
Marais Rouhani na Erdogan wazungumzia uhusiano wa Iran na Uturuki
Mar 01, 2017 15:34Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbali mbali likiwemo la umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili.
-
Marais wa Iran na Uturuki wasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi
Jan 13, 2017 03:40Marais wa Iran na Uturuki wamesisitiza tena udharura wa kuimarishwa ushirikiano wa Tehran, Ankara na Moscow katika kuimarisha amani ya Mashariki ya Kati na kupambana na ugaidi.
-
Erdogan: Madola ajinabi yalihusika kuratibu mapinduzi
Aug 03, 2016 02:22Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki ameyataja madola ya nje kuwa yalihusika na kuratibu mapinduzi yaliyofeli nchini humo.
-
Jaribio la Mapinduzi ya Kijeshi Uturuki, Rais Erdogan Aapa kuwaadhibu wahusika
Jul 16, 2016 03:53Kumejiri jaribio la mapinduzi ya kijeshi nchini Uturuki Ijumaa usiku huku watu 42 wakiripotiwa kupoteza maisha katika mji mkuu Ankara na Rais ReccepTayyib Erdogan akisema jaribio hilo limeshindwa.
-
Erdogan apiga magoti na kumuomba radhi Putin
Jun 27, 2016 16:08Rais wa Uturuki amemwandikia barua mwenzake wa Russia, Vladimir Putin akimuomba radhi kutokana na kuangushwa ndege ya nchi hiyo katika mpaka wa Uturuki na Syria.
-
Waziri Mkuu mpya Uturuki aahidi kuongezewa mamlaka rais
May 22, 2016 16:20Binali Yildirim, Waziri wa Uchukuzi wa Uturuki ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa chama tawala AKP sambamba na kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo kuchukua nafasi ya Ahmet Davutoğlu.
-
Mtazamo wa Rais Rouhani kuhusu jukumu la Iran na Uturuki katika usalama wa kieneo
Apr 17, 2016 07:41Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alishiriki katika kikao cha pamoja cha waandishi habari na Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki mjini Ankara na kusema kuleta uthabiti na usalama katika eneo ni jukumu la kisheria la nchi hizi mbili.
-
Rouhani: Iran itaendelea kuwa pamoja na OIC
Apr 16, 2016 16:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran itaendelea kuwa pamoja na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) maadamu jumuiya hiyo inashikamana na malengo yake ya asili.