-
Ethiopia yaituhumu Eritrea kuwa inajiandaa kuanzisha vita dhidi yake
Oct 09, 2025 07:13Ethiopia imeituhumu Eritrea kuwa inajiandaa kuanzisha vita dhidi yake. Ethiopia imetoa tuhuma hizi dhidi ya Eritrea ikiwa ni ishara ya karibuni ya kushtadi mvutano katika nchi mbili hizo jirani kuhusu udhibiti wa Bahari Nyekundu.
-
Nguzo za kanisa zaporomoka Ethiopia na kuua watu 36
Oct 02, 2025 13:50Takriban watu 36 waliuawa na zaidi ya 200 kujeruhiwa katika tamasha la kidini katikati mwa Ethiopia, wakati viunzi vya mbao vilipowaangukia ndani ya kanisa lililokuwa likiendelea kujengwa.
-
Afrika yataka kuchukuliwa hatua madhubuti ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi
Sep 11, 2025 07:20Afrika inachangia chini ya asilimia 5 ya uzalishaji wa gesi chafuzi duniani lakini inalipa kile ambacho mtaalamu mmoja wa masuala ya hali ya hewa anakiita “gharama kubwa" ya mabadiliko ya hali ya hewa; mada ambayo imetawala katika Mkutano wa Pili wa Hali ya Hewa wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia.
-
Bwawa la Renaissance; tishio kwa amani au fursa ya maendeleo?
Sep 11, 2025 07:19Bwawa la Renaissance au an-Nahdha, mradi mkubwa zaidi wa kuzalisha umeme barani Afrika, ulizinduliwa rasmi na serikali ya Ethiopia siku ya Jumanne.
-
Wahamiaji 7 wa Ethiopia wameaga dunia kwa njaa na kiu wakielekea Yemen
Aug 08, 2025 02:37Wahamiaji saba wa Ethiopia wameaga dunia kutokana na njaa na kiu baada ya boti waliyokuwa wakisafiri kuharibika njiani wakitoka Somalia kuelekea Yemen.
-
Ethiopia yamteua Balozi mpya nchini Somalia baada ya miezi kadhaa ya mvutano wa kidiplomasia
Aug 06, 2025 12:28Balozi mpya wa Ethiopia nchini Somalia, Suleiman Dedefo, amewasilisha rasmi hati zake za utambulisho kwa Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, katika hatua inayoashiria kurejesha uhusiano wa kawaida baada ya miezi kadhaa ya mvutano wa kidiplomasia.
-
Madaktari Wasio na Mipaka: Wafanyakazi wetu waliuawa kwa makusudi Tigray
Jul 16, 2025 08:24Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka limesema wafanyakazi wake watatu "waliuawa kwa makusudi" wakati wa mapigano makali katika eneo la Tigray nchini Ethiopia.
-
Watu 82 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa DAESH watiwa mbaroni Ethiopia
Jul 16, 2025 06:51Shirika la Taifa la Intelijensia la Ethiopia limetangaza kuwa limewakamata watu 82 wanaoshukiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS).
-
Ethiopia kuitosa sarafu ya dola ya US katika miamala ya biashara?
Jul 12, 2025 16:33Wizara ya Fedha ya Ethiopia imesema kuwa nchi hiyo ya Afrika Mashariki inafanyia kazi hatua za kuiruhusu kufanya biashara kwa kutumia sarafu tofauti isiyo dola ya Marekani, na kwamba kuna nchi ambazo imefikia makubaliano nazo katika suala hili kwa nyakati tofauti.
-
WFP: Matibabu ya utapiamlo yasitishwa nchini Ethiopia kutokana na ukosefu wa fedha
Apr 23, 2025 02:09Mpango wa Chakula Duniani (WFP) wiki hii umesimamisha matibabu ya utapiamlo kwa wanawake na watoto 650,000 nchini Ethiopia kutokana na uhaba mkubwa wa fedha. WFP imesema kuwa mamilioni ya watu wako katika hatari ya kukosa misaada.