Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Waziri Mkuu wa Ethiopia: Jeshi limefanikiwa dhidi ya harakati ya TPLF

    Waziri Mkuu wa Ethiopia: Jeshi limefanikiwa dhidi ya harakati ya TPLF

    Nov 05, 2020 04:31

    Abiy Ahmed Waziri Mkuu wa Ethiopia amesema kuwa mashambulizi ya Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF)) yamedhibitiwa. Amesema jeshi la Ethiopia litatekeleza oparesheni nyingine siku chache zijazo.

  • Kwa amri ya Abiy Ahmed: Jeshi la Ethiopia laanza mashambulizi dhidi ya harakati ya TPLF

    Kwa amri ya Abiy Ahmed: Jeshi la Ethiopia laanza mashambulizi dhidi ya harakati ya TPLF

    Nov 04, 2020 05:24

    Jeshi la Ethiopia mapema leo limeanza mashambulizi dhidi ya Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF)).

  • Makumi wauawa katika shambulio la wabeba silaha Ethiopia

    Makumi wauawa katika shambulio la wabeba silaha Ethiopia

    Nov 03, 2020 03:39

    Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi la wanamgambo waliobeba silaha magharibi mwa Ethiopia.

  • Mkuu wa Baraza la Uongozi Sudan ameanza ziara ya kiduru huko Ethiopia; na kisha kuzitembelea nchi nyingine za eneo

    Mkuu wa Baraza la Uongozi Sudan ameanza ziara ya kiduru huko Ethiopia; na kisha kuzitembelea nchi nyingine za eneo

    Nov 02, 2020 03:58

    Mkuu wa Baraza la Uongozi la Sudan amewasili nchini Ethiopia katika awamu ya kwanza ya ziara yake ya kiduru katika nchi kadhaa za Kiafrika.

  • Baada ya vitisho vya Trump IGAD yataka mazungumzo ya Ethiopia na Misri kuhusu bwawa

    Baada ya vitisho vya Trump IGAD yataka mazungumzo ya Ethiopia na Misri kuhusu bwawa

    Oct 26, 2020 03:48

    Shirika la Maendeleo la Kiserikali la Nchi za Mashariki mwa Afrika (IGAD) limehimiza mazungumzo yafanyike na mwafaka ufikiwe ili kuleta suluhu kuhusu kadhia ya bwawa kubwa linalojengwa na Ethiopia kwenye Mto Nile linalojulikana kama Grand Renaissance Dam (GERD).

  • Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia: Matamshi ya Trump kuhusu bwawa la Renaissance ni ya kihalifu

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Ethiopia: Matamshi ya Trump kuhusu bwawa la Renaissance ni ya kihalifu

    Oct 25, 2020 08:40

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Ethiopia ameyataja matamshi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu bwawa la Renaissance kuwa ni jinai na uhalifu.

  • Ethiopia yamwita kumsaili balozi wa Marekani kwa matamshi aliyotoa Trump

    Ethiopia yamwita kumsaili balozi wa Marekani kwa matamshi aliyotoa Trump

    Oct 24, 2020 11:11

    Balozi wa Marekani mjini Addis Ababa ameitwa kusailiwa kufuatia kauli aliyotoa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu bwawa la An-Nahdhah au Renaissance.

  • Wanaokataa kuvaa barakoa kufungwa miaka 2 jela Ethiopia

    Wanaokataa kuvaa barakoa kufungwa miaka 2 jela Ethiopia

    Oct 23, 2020 03:52

    Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Ethiopia imesema watakaokiuka masharti yanayolenga kupunguza msambao wa virusi vya corona ukiwemo uvaaji wa barakoa katika maeneo ya umma watafungwa jela hadi miaka miwili.

  • Genge la wabeba silaha lafanya tena mashambulio na kuua 12 Ethiopia

    Genge la wabeba silaha lafanya tena mashambulio na kuua 12 Ethiopia

    Oct 13, 2020 04:10

    Kwa akali watu 12 wameuawa katika shambulizi la wanamgambo waliobeba silaha katika eneo la Benishangul-Gumuz, magharibi mwa Ethiopia.

  • Wahajiri 8 wa Ethiopia wafariki katika pwani ya Djibouti

    Wahajiri 8 wa Ethiopia wafariki katika pwani ya Djibouti

    Oct 05, 2020 06:21

    Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limesema wahajiri wasiopungua 8 kutoka Ethiopia wamezama baharini na wengine 12 wametoweka baada ya wafanya magendo ya binadamu kuwarusha baharini karibu na Pwani ya Djibouti.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS