Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Sheria ya kutorusha ndege juu ya bwawa la al Nahdha yaanza kutekelezwa

    Sheria ya kutorusha ndege juu ya bwawa la al Nahdha yaanza kutekelezwa

    Oct 05, 2020 04:34

    Serikali ya Ethiopia imepiga marufuku kuruka ndege katika anga ya Bwawa la al Nahdha lililozusha mzozo mkubwa kati yake na Misri na Sudan.

  • Raia 3 wa Ethiopia wafia katika kambi ya kuzuilia wahajiri Saudia

    Raia 3 wa Ethiopia wafia katika kambi ya kuzuilia wahajiri Saudia

    Oct 02, 2020 07:22

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza habari ya kupoteza maisha wahamiaji watatu wa Kiethiopia ambao walikuwa wanashikiliwa katika mazingira yasiyo ya kibinadamu nchini Saudi Arabia.

  • Kamanda wa jeshi la Ethiopia: Tunaweza kuzima shambulio dhidi ya al Nahdha

    Kamanda wa jeshi la Ethiopia: Tunaweza kuzima shambulio dhidi ya al Nahdha

    Oct 01, 2020 07:04

    Kamanda wa Jeshi la Anga la Ethiopia amekariri tena kwamba nchi yake ina uwezo wa kuziuia shambulizi lolote dhidi ya bwawa na Renaissance (al-Nahdha) linalojengwa juu ya maji ya Mto Nile ambalo limesababisha mgogoro mkubwa baina ya nchi hiyo na nchi za Misri na Sudan.

  • Watu milioni moja waathiriwa na mafuriko nchini Ethiopia

    Watu milioni moja waathiriwa na mafuriko nchini Ethiopia

    Oct 01, 2020 04:20

    Umoja wa Mataifa umeripoti kuwa watu milioni moja wameathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha nchini Ethiopia, ambapo laki tatu miongoni mwao wamelazimika kuyahama makazi yao.

  • Ethiopia imemfungulia mashtaka ya ugaidi  Jawar Mohammed na wanaharakati wengine

    Ethiopia imemfungulia mashtaka ya ugaidi Jawar Mohammed na wanaharakati wengine

    Sep 19, 2020 22:45

    Ethiopia imewasilisha mashtaka ya ugaidi dhidi ya Jawar Mohammed kiongozi mkuu wa upinzani nchini humo na wanaharakati wengine; hatua ambayo huwenda ikachochea zaidi machafuko katika eneo la Oromo nchin humo.

  • Ethiopia kuwarejesha nyumbani maelfu ya wahajiri kutoka Saudia kwa kuhofia maisha yao

    Ethiopia kuwarejesha nyumbani maelfu ya wahajiri kutoka Saudia kwa kuhofia maisha yao

    Sep 18, 2020 06:10

    Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa itawarejesha nyumbani wahajiri karibu 2,000 kutoka Saudi Arabia katika wiki zijazo, kutokana na wasiwasi mkubwa wa jamii ya kimataifa juu ya hali mbaya inayoshuhudiwa katika kambi za wahamiaji nchini humo.

  • Watu 30 wauawa katika mashambulizi ya wanamgambo nchini Ethiopia

    Watu 30 wauawa katika mashambulizi ya wanamgambo nchini Ethiopia

    Sep 18, 2020 03:37

    Watu wasiopungua 30 wameuawa katika mashambulizi ya wanamgambo waliobeba silaha katika eneo la Benishangul-Gumuz, magharibi mwa Ethiopia.

  • Mkoa wa Tigrey nchini Ethiopia kuendesha uchaguzi; umekaidi agizo la serikali

    Mkoa wa Tigrey nchini Ethiopia kuendesha uchaguzi; umekaidi agizo la serikali

    Sep 04, 2020 22:05

    Mkoa wa Tigrey wa kaskazini mwa Ethiopia umepanga kuendesha uchaguzi Jumatano ijayo ikiwa ni kukaidi agizo la serikali ya shirikisho ya nchi hiyo.

  • Sudan yataka mzozo wa Bwawa la al-Nahdha ujadiliwe na marais wa nchi husika

    Sudan yataka mzozo wa Bwawa la al-Nahdha ujadiliwe na marais wa nchi husika

    Aug 30, 2020 07:29

    Serikali ya Khartoum imetoa mwito wa kujadiliwa mzozo wa Bwawa la al-Nahdha na marais wa Sudan, Misri na Ethiopia.

  • Mamia ya wahajiri wa Kiethiopia wauawa kwa kupigwa risasi na askari wa Saudia

    Mamia ya wahajiri wa Kiethiopia wauawa kwa kupigwa risasi na askari wa Saudia

    Aug 13, 2020 22:27

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeripoti kuwa makumi ya wahajiri wa Kiethiopia waliokimbia vita kaskazini mwa Yemen wameuawa kwa kupigwa risasi na askari wa mpakani wa Saudi Arabia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS