-
Ethiopia yatishia kuvunja uhusiano na Marekani, yasema Washington ndio itayopata hasara
Aug 09, 2020 03:43Ethiopia imetishia kuvunja uhusiano wake wa kidiplomasia na Marekani kufuatia uingiliaji kati wa Washington katika kadhia ya Bwawa la Renaissance la Addis Ababa.
-
Ethiopia yalalamikia utendaji wa Marekani kuhusu mazungumzo ya Bwawa la al-Nahdha
Aug 08, 2020 03:45Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia imetangaza kuwa, mashinikizo ya Marekani dhidi ya nchi hiyo ili ifanye mazungumzo na Misri na Sudan kuhusiana na Bwawa la al-Nahdha yatakuwa na taathira hasi kwa uhusiano wa Washington na Addis Ababa.
-
Sudan yakataa pendekezo la Ethiopia kuhusu Bwawa la al-Nahdha
Aug 06, 2020 00:00Wizara ya Umwagiliaji ya Sudan imesema, nchi hiyo haijakubali pendekezo la Ethiopia kuhusu kujaza maji na kutumia Bwawa la al-Nahdha (GERD).
-
Misri yatangaza kusitisha rasmi mazungumzo yake na Ethiopia kuhusu Bwawa la al-Nahdha
Aug 05, 2020 03:34Serikali ya Misri imetangaza kusitisha mazungumzo yake na Ethiopia kuhusiana na kadhia ya Bwawa la al-Nahdha kutokana na kile ilichokieleza kuwa, hatua ya upande mmoja ya Addis Ababa ya kuanza kujaza maji katika bwawa hilo.
-
Misri na Sudan zapinga hatua ya upande mmoja ya Ethiopia ya kuanza kutumia maji ya bwawa la Renaissance
Jul 28, 2020 22:02Misri na Sudan zimesema, hazikubaliani na hatua ya upande mmoja iliyochukuliwa na Ethiopia ya kutekeleza awamu ya kwanza ya utumiaji wa maji ya bwawa la Renaissance.
-
Misri yatoa vitisho dhidi ya Ethiopia kuhusiana na Bwawa la al-Nahdha
Jul 25, 2020 06:57Mjumbe wa timu ya Misri katika mazungumzo kuhusu Bwawa la al-Nahdha ametishia kuwa, endapo hakutafikiwa mwafaka katika kadhia hiyo, serikali ya Cairo itachukua hatua ya upande mmoja dhidi ya Ethiopia.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia azitahadharisha Misri na Sudan kuhusu Bwawa la An Nahdhah
Jul 23, 2020 02:36Waziri Mkuu wa Ethiopia ameutaja ujenzi wa Bwawa la An Nahdhah kuwa ni hatua iliyochelewa na kuzionya Misri na Sudan juu ya hatua zao kuhusiana na bwawa hilo.
-
Mgogoro wa bwawa la al Nahdha ungali unazitesa Misri, Sudan na Ethiopia
Jul 13, 2020 03:03Wizara ya Umwagiliaji Maji ya Misri imetangaza habari ya kuendelea mgogoro baina ya nchi hiyo na Sudan na Ethiopia katika siku ya kumi ya mazungumzo ya nchi hizo tatu kuhusu bwawa la al Nahdha.
-
Waliouawa katika ghasia Ethiopia wafika 239
Jul 08, 2020 11:34Mauaji ya watu hao yamejiri katika ghasia ambazo ziliiibuka Ethiopia wiki iliyopita kufuatia mauaji ya mwanamuziki na mwanaharakati maarufu Haacaaluu Hundeessaa.
-
Watu 166 wameuawa katika ghasia Ethiopia, waziri mkuu asema ni njama ya maadui
Jul 05, 2020 03:13Watu wasiopungua 166 wameuawa katika ghasia ambazo zimeibuka Ethiopia kufuatia mauaji ya mwanamuziki na mwanaharakati maarufu Haacaaluu Hundeessaa.