Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Jeshi lasambazwa Addis Ababa baada ya mauaji ya watu 80

    Jeshi lasambazwa Addis Ababa baada ya mauaji ya watu 80

    Jul 02, 2020 03:09

    Jeshi la Ethiopia limesambazwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Addis Ababa kwa shabaha ya kudhibiti machafuko yaliyosababisha vifo vya watu wasiopingua 80.

  • 52 wauawa katika maandamano ya kulaani mauaji ya mwanaharakati Ethiopia

    52 wauawa katika maandamano ya kulaani mauaji ya mwanaharakati Ethiopia

    Jul 01, 2020 21:52

    Makumi ya watu wameuawa katika maandamano ya ghasia yaliyoibuka katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa baada ya muimbaji ya mwanaharakati mashuhuri kupigwa risasi na kuuawa.

  • Misri yakosoa tena misimamo ya Ethiopia kuhusu Bwawa la Renaissance

    Misri yakosoa tena misimamo ya Ethiopia kuhusu Bwawa la Renaissance

    Jul 01, 2020 02:09

    Serikali ya Misri imekosoa utendaji na mienendo ya Ethiopia kuhusiana na ujenzi wa Bwawa la Renaissance (al Nahdha) juu ya Mto Nile lakini imeeleza kwamba, ina matumaini na matokeo ya mazungumzo yaliyopangwa kusimamiwa na Umoja wa Afrika kujadili kadhia hiyo.

  • Ghasia na maandamano Ethiopia baada ya mwanaharakati kuuawa

    Ghasia na maandamano Ethiopia baada ya mwanaharakati kuuawa

    Jun 30, 2020 11:30

    Ghasia zimeibuka katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa baada ya muimbaji na mwanaharakati mashuhuri kupigwa risasi na kuuawa.

  • Mgogoro wa Bwawa la Renaissance waingia Baraza la Usalama, Ethiopia yatahadharisha

    Mgogoro wa Bwawa la Renaissance waingia Baraza la Usalama, Ethiopia yatahadharisha

    Jun 29, 2020 23:15

    Mgogoro wa Bwawa la Renaissance (Al Nahdha) baina ya Misri, Sudan na Ethiopia umewekwa rasmi kwenye meza ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Misri kuwasilisha muswada huo kwa ajili ya kujadiliwa na wanachama wa baraza hilo.

  • Ethiopia: Marekani ikome kuiunga mkono Misri kibubusa

    Ethiopia: Marekani ikome kuiunga mkono Misri kibubusa

    Jun 28, 2020 23:26

    Gazeti moja la Ethiopia limeishambulia vikali serikali ya Marekani kwa kile lilichosema ni uungaji mkono wa kibubusa na kipofupofu wa misimamo ya Misri katika mazungumzo ya kutafuta suluhisho la bwawa na al Nahdha linalojengwa na Addis Ababa juu ya maji ya Nto Nile.

  • Kuongezeka jitihada za kutatua mgogoro wa bwawa la al Nahdha

    Kuongezeka jitihada za kutatua mgogoro wa bwawa la al Nahdha

    Jun 27, 2020 09:12

    Hitilafu zinazoendelea baina ya nchi za Misri, Sudan na Ethiopia kuhusu ujenzi wa bwawa na al Nahdha juu ya maji ya Mto Nile na mgogoro uliosababishwa na hitilafu hizo zimezidisha jitihada za kikanda na kimataifa za kutafuta suhulisho la hitilafu hizo.

  • Misri yataka UN iingilie kati mzozo wa bwawa la al-Nahdha

    Misri yataka UN iingilie kati mzozo wa bwawa la al-Nahdha

    Jun 20, 2020 02:17

    Misri imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liingilie kati kwa ajili ya kutatua mgogoro wa bwawa la al-Nahdha la nchini Ethiopia.

  • Misri na Ethiopia zaafikiana juu ya maji ya bwana la al Nahdha

    Misri na Ethiopia zaafikiana juu ya maji ya bwana la al Nahdha

    Jun 18, 2020 03:15

    Misri na Ethiopia zimeafikiana juu ya jinsi ya kujaza maji katika bwana lililozusha mgogoro mkubwa baina ya pande hizo mbili la al Nahdha.

  • Bunge la Ethiopia lamruhusu Waziri Mkuu asalie madarakani muda wake ukiisha

    Bunge la Ethiopia lamruhusu Waziri Mkuu asalie madarakani muda wake ukiisha

    Jun 11, 2020 03:32

    Bunge la Ethiopia limepiga kura ya kumuidhinisha Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Abiy Ahmed aendelee kuwa madarakani hata baada ya muhula wake wa kuhudumu kisheria utakapomalizika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS