Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ethiopia

  • Ethiopia yaituhumu Misri kuwa imechochea ghasia na machafuko nchini humo

    Ethiopia yaituhumu Misri kuwa imechochea ghasia na machafuko nchini humo

    Jun 04, 2020 07:13

    Afisa wa serikali ya jimbo la Oromia nchini Ethiopia ameituhumu serikali ya Misri kuwa imechochea maandamano na ghasia zilizoshuhudiwa katika siku za hivi karibuni jimboni humo.

  • AI: Kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu Ethiopia

    AI: Kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu Ethiopia

    May 29, 2020 23:25

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema vikosi vya usalama nchini Ethiopia vinakiuka haki za binadamu ikiwa ni pamoja na kujihusisha na mauaji ya kiholela na utesaji watu tangu Waziri Mkuu Abiy Ahmed achukue hatamu za uongozi mwaka 2018.

  • Ethiopia yagundua wagonjwa wapya 88, idadi yafikia 582

    Ethiopia yagundua wagonjwa wapya 88, idadi yafikia 582

    May 25, 2020 07:43

    Ethiopia imethibitisha kugunduliwa wagonjwa wengine 88 wa COVID-19 na kufanya idadi ya kesi za corona zilizogunduliwa nchini humo hadi leo Jumatatu asubuhi kufikia 582. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa jana na Wizara ya Afya ya Ethiopia.

  • Ethiopia yakiri kutungua ndege ya Kenya katika ardhi ya Somalia

    Ethiopia yakiri kutungua ndege ya Kenya katika ardhi ya Somalia

    May 09, 2020 08:05

    Askari wa jeshi la Ethiopia wamekiri kuwa walitungua kimakosa ndege ndogo ya Kenya iliyokuwa imebeba misaada na vifaa vya kupambana na janga la corona katika mji wa Bardale, kusini mwa eneo la Bay nchini Somalia.

  • Indhari ya UN baada ya Saudia kuwafukuza nchini humo raia wa Ethiopia

    Indhari ya UN baada ya Saudia kuwafukuza nchini humo raia wa Ethiopia

    Apr 14, 2020 08:03

    Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, hatua ya watawala wa Riyadh ya kuwatimua nchini Saudi Arabia wafanyakazi wahajiri raia wa Ethiopia itasababisha kuenea na kusambaa virusi vya Corona.

  • Ethiopia yaonyesha wasi wasi kufuatia hatua ya Saudia ya kuwatimua Waethopia

    Ethiopia yaonyesha wasi wasi kufuatia hatua ya Saudia ya kuwatimua Waethopia

    Apr 13, 2020 02:09

    Serikali ya Ethiopia imeonyesha wasi wasi wake kufuatia hatua ya Saudia ya kuwatimua raia wa nchi hiyo bila ya kuwafanyia vipimo vya Corona.

  • Corona yaua mtu mmoja Somalia, Ethiopia yatangaza hali ya hatari

    Corona yaua mtu mmoja Somalia, Ethiopia yatangaza hali ya hatari

    Apr 09, 2020 03:52

    Somalia jana Jumatano iliripoti kifo cha kwanza cha mgonjwa wa virusi vya corona, huku idadi ya walioambukizwa ugonjwa huo wa Covid-19 nchini humo ikiongezeka.

  • "Wahajiri" 60 wapatikana wameaga dunia ndani ya lori Msumbiji

    Mar 26, 2020 06:57

    Miili zaidi ya 60 imepatikana ndani ya lori la mizigo katika mkoa wa Tete, kaskazini magharibi mwa Msumbiji.

  • Vita dhidi ya corona; Ethiopia yawaachia huru maelfu ya wafungwa

    Vita dhidi ya corona; Ethiopia yawaachia huru maelfu ya wafungwa

    Mar 26, 2020 06:17

    Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa itawaachia huru maelfu ya wafungwa, ili kuzuia kuenea kwa kasi kirusi hatari cha corona nchini humo.

  • Makamanda wa jeshi la Ethiopia wasema wako tayari kukabiliana na hujuma yoyote ya Misri

    Makamanda wa jeshi la Ethiopia wasema wako tayari kukabiliana na hujuma yoyote ya Misri

    Mar 14, 2020 09:08

    Mkuu wa majeshi ya Ethiopia amesema kuwa jeshi la nchi hiyo liko tayari kukabiliana na hujuma ya aina yoyote ya kijeshi itakayolenga bwawa la al Nahdha na kujibu hujuma hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS