-
Ethiopia: Hatutaburuzwa na Marekani kusaini makubaliano ya bwawa la Nahdha
Mar 13, 2020 23:02Ethiopia imesema haitakubali kushinikizwa na Marekani kutia saini makubaliano ya mpango wa Washington kuhusu bwawa la al-Nahdha.
-
Serikali ya Misri: Ethiopia imeidhalilisha Jumuiya ya Nchi za Karabu
Mar 08, 2020 23:17Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Misri imetangaza kuwa, inapinga vikali taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia kuhusu azimio la Baraza la Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusiana na ujenzi wa Bwawa la al-Nahdha.
-
Ethiopia: Ubovu wa ndege ya Boeing ya US ndiyo sababu ya ajali ya 2019
Mar 07, 2020 23:14Rasimu ya ripoti ya muda ya wachunguzi wa Ethiopia imesema ajali mbaya ya ndege ya Boeing Max 737 iliyotokea tarehe 10 mwezi Machi mwaka jana 2019 na kuua watu 157 ilisababishwa na na matatizo ya kiufundi na ubovu wa ndege hiyo ya Kimarekani.
-
Makumi wauawa katika mapigano ya kikabila Ethiopia na Somalia
Feb 29, 2020 10:02Watu wasiopungua 12 wameuawa katika mapigano mapya ya kikabila katika jimbo la Gambella, magharibi mwa Ethiopia.
-
Makumi ya waandamanaji wajeruhiwa katika maandamano nchini Ethiopia
Feb 24, 2020 08:15Maafisa wa jeshi la polisi la Ethiopia wametangaza kuwa, makumi ya watu wamejeruhiwa baada ya kutokea mripuko wa bomu katika maandamano ya kumuunga mkono Waziri Mkuu wa nchi hiyo.
-
Safari ya Pompeo katika nchi kadhaa za Afrika na hamaniko la Marekani la kukabiliana na washindani wake
Feb 21, 2020 03:18Muelekeo wa madola ya Magharibi kuhusiana na bara la Afrika daima umekuwa wa kulikoloni, kulinyonya na kulipora utajiri wake bara hilo, pamoja na kuwakandamiza Waafrika wanaopigania nchi zo kuwa huru na kujitawala.
-
UN: Wasudan Kusini wanaunda idadi kubwa ya wakimbizi Ethiopia
Jan 26, 2020 09:28Umoja wa Mataifa umesema raia wa Sudan Kusini ndio wanaounda idadi kubwa ya wakimbizi nchini Ethiopia.
-
Ethiopia yatambua rasmi Baraza Kuu la Waislamu baada ya juhudi za miaka 60
Jan 26, 2020 03:40Baada ya juhudi za miaka 60 hatimaye Baraza Kuu la Waislamu nchini Ethiopia limetambuliwa rasmi na serikali ya Addis Ababa, suala ambalo limetajwa na wachambuzi wa mambo kuwa ni mafanikio ya kihistoria kwa wafuasi wa dini hiyo nchini Ethiopia.
-
Waziri Mkuu wa Ethiopia amjibu Trump anayelilia Tuzo ya Nobel
Jan 15, 2020 23:02Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amejibu matamshi ya Rais Donald Trump wa Marekani aliyedai hivi karibuni kuwa yeye ndiye aliyepaswa kupewa Tuzo ya Amani ya Nobel mwaka jana 2019 na kusisitiza kuwa, Trump anapaswa kuwasilisha malalamiko yake kwa Kamati Andalizi ya Tuzo ya Nobel na sio kwa taifa hilo la Pembe ya Afrika.
-
Mazungumzo kuhusu bwawa la al-Nahdha yavunjika nchini Ethiopia
Jan 11, 2020 01:20Wizara ya Maji ya Misri imetangaza kuwa, mazungumzo yaliyokuwa yakiendelea huko Addis Ababa kati ya nchi hiyo, Ethiopia na Sudan kuhusiana na bwawa na al-Nahdha yamevunjika baada ya pande husika kushindwa kufikia makubaliano.