Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Feisal Miqdad

  • Abdollahian: Marekani inapasa kuwajibishwa kwa shambulio dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran

    Abdollahian: Marekani inapasa kuwajibishwa kwa shambulio dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran

    Apr 09, 2024 04:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza kuwa serikali ya Marekani ina jukumu na inapasa kubeba dhima kwa shambulio la kigaidi katika ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus lililofanywa na utawala wa Israel unaotekeleza mauaji ya kimbari huko Gaza.

  • Abdollahian: Uwepo wa vikosi vya kigeni katika ardhi ya Syria si ufumbuzi

    Abdollahian: Uwepo wa vikosi vya kigeni katika ardhi ya Syria si ufumbuzi

    Jul 31, 2023 10:13

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwepo wa vikosi vya kigeni katika ardhi ya Syria hakusaidii katu amani na uthabiti wa nchi hiyo wala wa eneo la Asia Magharibi.

  • Safari ya Faisal al Miqdad huko Jeddah; mabadiliko katika sera za nje za Saudi Arabia

    Safari ya Faisal al Miqdad huko Jeddah; mabadiliko katika sera za nje za Saudi Arabia

    Apr 15, 2023 04:25

    Faisal al Miqdad Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amefanya ziara nchini Saudi Arabia kufuatia mwaliko rasmi wa mwenzake wa Saudi Arabia Faisal bin farhan.

  • Rais wa Iran apongeza mapambano ya watu wa Syria

    Rais wa Iran apongeza mapambano ya watu wa Syria

    Jul 21, 2022 03:04

    Rais Ebrahim Raeisi wa Iran amesema ana yakini kuwa Syria ina mustakakbali mwema huku akiwapongeza wananchi wa Syria kwa mapambano na muqawama katika kipindi cha miaka 11 ya vita dhidi ya nchi hiyo ambavyo vinaungwa mkono na madola ya kigeni.

  • Syria: Nchi za Magharibi uchaguzi wetu haukuhusuni ndewe wala sikio

    Syria: Nchi za Magharibi uchaguzi wetu haukuhusuni ndewe wala sikio

    May 27, 2021 06:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa, nchi za Magharibi hazipaswi kujipa uthubutu wa kuzungumzia uchaguzi wa nchi hiyo kwani hauzihusu kwa mbali wala kwa karibu nchi hizo za kibeberu.

  • Feisal Miqdad: Uhusiano wa Iran na Syria ni mkubwa na wa kistratejia

    Feisal Miqdad: Uhusiano wa Iran na Syria ni mkubwa na wa kistratejia

    Dec 09, 2020 03:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa uhusiano wa Tehran na Damascus ni mkubwa na wa kistratejia na kueleza kuwa: Syria ina uhusiano mkubwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja zote za kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni.

  • Rouhani: Iran itaendelea kuwa pamoja na serikali na taifa la  Syria hadi ushindi wa mwisho

    Rouhani: Iran itaendelea kuwa pamoja na serikali na taifa la Syria hadi ushindi wa mwisho

    Dec 08, 2020 08:58

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesemam kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendeleza maamuzi na irada ambayo imekuwa ikichukua katika kuiunga mkono serikali na taifa la Syria kama nchi muitifakii wake wa kistratejia na itakuwa bega kwa bega na Syria hadi kupatikana ushindi wa mwisho.

  • Qalibaf: Mataifa ya Kiislamu yawatangazie walimwengu kwamba, kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni jambo baya

    Qalibaf: Mataifa ya Kiislamu yawatangazie walimwengu kwamba, kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel ni jambo baya

    Dec 08, 2020 01:24

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tawala na jamii za Kiislamu ziutangazie ulimwengu kwamba, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni kitendo kibaya na kisichofaa.

  • Serikali ya Syria: Hatutaki uvamizi wa aina yoyote ile katika ardhi yetu

    Serikali ya Syria: Hatutaki uvamizi wa aina yoyote ile katika ardhi yetu

    Feb 05, 2020 01:13

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria, amesema kuwa raia wa nchi hiyo hawakubali uvamizi wowote katika ardhi za nchi yao.

  • Faisal Mekdad: Kama jeshi la Syria lingekuwepo maeneo ya Wakurdi, Uturuki isingewashambulia

    Faisal Mekdad: Kama jeshi la Syria lingekuwepo maeneo ya Wakurdi, Uturuki isingewashambulia

    Oct 12, 2019 01:22

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria sambamba na kumkosoa vikali Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki, amesema kuwa tangu mwanzoni mwa mzozo wa Syria, serikali ya Ankara imekuwa ikiwaunga mkono magaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS