-
Hatua ya Israel kupora nishati ya Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah
Jun 11, 2022 10:14Sayyid Hassan Nasrallah, ametoa hutuba kuhusu hatua ya utawala wa Kizayuni ya kupora utajiri wa nishati ya Lebanon ambapo amebainisha nukta kadhaa kuhusu kadhia hiyo.
-
Licha ya kuonesha uadui mkubwa, Ulaya yaendelea kutumia gesi ya Russia kupitia Ukraine
May 30, 2022 04:11Licha ya kwamba nchi za Ulaya zinaendelea kuchukua hatua kali za kiuadui dhidi ya Russia na kuzilazimisha nchi nyingine kufuata siasa zao dhidi ya Moscow, lakini nchi hizo za Ulaya zimeshindwa kuacha kutumia gesi ya Russia.
-
Russia yawakatia gesi Wapoland, sarafu za Euro na Pound ya Uingereza zaporomoka
Apr 28, 2022 02:49Sarafu za Euro na Pound ya Uingereza zimeporomoka thamani yake baada ya Russia kuamua kuzikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria kutokana na kufuata kwao kibubusa siasa za Magharibi.
-
Vikwazo vya dhahiri vya Magharibi dhidi ya Russia na ushirikiano mkubwa rasmi nyuma ya pazia
Apr 05, 2022 08:42Nchi za Ulaya zimetangaza vikwazo vya kila namna dhidi ya Russia kwa sababu ya vita vya Ukraine lakini nchi hizo hizo za Magharibi zenyewe zinarejea mlango wa nyuma na kuvunja vikwazo vyao zenyewe. Awali nchi za Ulaya zilipinga vikali kununua mafuta na gesi ya Russia kwa sarafu ya Ruble lakini hivi sasa zimelegeza misimamo hata katika suala hilo nalo.
-
Kuongezeka mpasuko ndani ya EU kuhusu vikwazo vya mafuta na gesi dhidi ya Russia
Mar 28, 2022 02:27Waziri Mkuu wa Poland, Mateusz Morawiecki amedai kuwa, nchi tatu za Ulaya za Ujerumani, Austria na Hungary ni kizuizi katika utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia na kuzifananisha nchi hizo tatu na breki inayozuia vikwazo vya Magharibi dhidi ya Moscow.
-
Rais Mnangagwa: Zimbabwe ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi
Nov 02, 2018 07:28Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amefichua kuwa, nchi hiyo ina hifadhi kubwa ya mafuta na gesi katika mji wa Muzarabani ulioko kaskazini mwa nchi.
-
Erdogan: Tutaendelea kununua gesi ya Iran licha ya vitisho vya Trump
Sep 26, 2018 14:19Rais Recep Tayyip Erdoğan amesema Uturuki itaendelea kununua gesi kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran licha ya vikwazo na vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Hizbullah: Lebanon si tonge laini kwa yeyote
Feb 03, 2018 07:41Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon, amejibu madai ya hivi karibuni ya Avigdor Lieberman, Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Israel aliyedai kwamba kisima nambari tisa cha mafuta na gesi ya Lebanon katika Bahari ya Mediterranean ni mali ya Israel na kusema, Lebanon sio tonge laini kwa yeyote yule.
-
Nigeria na Morocco kujenga bomba la kusafirishia gesi
Dec 05, 2016 03:56Serikali za Nigeria na Morocco zimesaini hati ya makubaliano ya kujenga bomba la kusafirishia gesi ambalo litaziunganisha nchi mbili hizo pamoja na nchi nyingine za Afrika na bara Ulaya.
-
Rouhani: Uzalishaji gesi kuongezeka kufikia mwishoni wa mwaka huu
Aug 01, 2016 07:57Rais wa Iran amesisitiza kutumiwa mazingira yaliyojitokeza baada ya makubaliano ya JCPOA kwa ajili ya kustafidi na teknolojia mpya na kueleza kuwa uzalishaji wa gesi nchini Iran utaongezeka kwa mita mraba milioni 140 kwa siku hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.