-
Waasi wa M23 wauteka mji wa Walikale mashariki mwa Kongo DR
Mar 20, 2025 23:53Kundi la waasi la M23, linaloendesha mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, limeuteka mji wa Walikale unaopatikana katika eneo lenye utajiri mkubwa wa madini huko Kivu Kaskazini.
-
Waziri wa zamani wa vita wa Israel: Tunakabiliwa na 'mgogoro mkubwa zaidi katika historia yetu'
Mar 20, 2025 23:52Waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Ya'alon ametoa mwito kwa waandamanaji kuendeleza maandamano yao ili kuiangusha serikali ya Benjamin Netanyahu na kuhitimisha alichokiita 'mgogoro mkubwa zaidi katika historia ya Israel'.
-
Baqaei alaani hujuma za kijeshi dhidi ya Yemen na mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Mar 20, 2025 07:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani kuendelea mashambulizi ya anga ya Marekani dhidi ya Yemen na mauaji ya utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza.
-
Misri, Saudia zalaani Israel kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza
Mar 03, 2025 03:37Hatua ya Israel ya kuzuia kuingizwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza imelaaniwa na Misri na Saudi Arabia, huku nchi mbili hizo zikisisitiza kuwa kitendo hicho ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa.
-
Misri yatayarisha mpango mbadala wa kukabiliana na wa Trump huko Gaza
Mar 02, 2025 03:58Vyanzo vya habari vya Misri vimeripoti kuwa Cairo imetupilia mbali mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina na sasa imetayari mpango mbadala.
-
HAMAS: Hadi sasa hakuna makubaliano yoyote kuhusu awamu ya pili ya mazungumzo ya Ghaza
Mar 01, 2025 23:00Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa, mazungumzo baina yake na utawala wa Kizayauni wa Israel yamesimama na hakuna maendeleo yoyote ya maana kuhusu awamu ya pili ya mazungumzo ya kusimamisha vita huko Ghaza.
-
Misri yakataa pendekezo la Wazayuni la kuitawala Gaza kwa miaka 8
Feb 26, 2025 03:10Cairo imekataa pendekezo la maafisa wa utawala za Kizayuni wa Isarel wanaotaka serikali ya Misri isimamia mamlaka ya Ukanda wa Gaza kwa miaka 8 hadi 15.
-
Oxfam: Tunaanza kuelewa kina cha uharibifu uliofanyika Gaza
Feb 20, 2025 07:55Shirika la Oxfam la Uingereza limetangaza kuwa utawala wa Israel umeharibu zaidi ya asilimia 80 ya mitandao ya maji na maji taka ya Gaza na kusababisha hali mbaya ya kiafya.
-
Israel yapokea tena shehena ya makombora mazito kutoka US iliyokuwa imezuiliwa kupewa na Biden
Feb 16, 2025 23:37Utawala wa Kizayuni wa Israel umepokea shehena ya mabomu mazito ya MK-84 kutoka Marekani baada ya Rais wa nchi hiyo Donald Trump kuondoa kizuizi cha uuzaji wa silaha hizo kilichokuwa kimewekwa na serikali ya mtangulizi wake Joe Biden. Hayo yamethibitishwa na Israel Katz, waziri wa vita wa utawala huo ghasibu.
-
Wapalestina 369 mkabala wa Waisraeli 3 wanaachiwa leo katika duru ya sita ya kubadilishana mateka
Feb 15, 2025 00:08Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetaja majina ya mateka watatu Wasraeli wenye uraia pacha ambao wanatazamiwa kuachiliwa leo katika duru ya sita ya mabadilishano ya mateka chini ya awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Ghaza.