Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Nchi za Kiarabu zapinga kuhamishwa Wapalestina wa Gaza

    Nchi za Kiarabu zapinga kuhamishwa Wapalestina wa Gaza

    Feb 02, 2025 07:23

    Nchi kubwa za Kiarabu zimepinga pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuwafukuza Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza na kuwapeleka nje ya nchi yao.

  • Kimbunga cha al-Aqsa chamsomba Mkuu wa Majeshi ya Israel

    Kimbunga cha al-Aqsa chamsomba Mkuu wa Majeshi ya Israel

    Jan 21, 2025 23:56

    Mkuu wa Vikosi vya Majeshi ya Israel, Herzi Halevi ametangaza kujiuzulu kufuatia kushindwa kwake kuzima Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa dhidi ya utawala huo haramu.

  • Utawala wa Israel umetekeleza uharibifu mkubwa na wa makusudi Gaza

    Utawala wa Israel umetekeleza uharibifu mkubwa na wa makusudi Gaza

    Jan 21, 2025 23:16

    Katika kipindi hiki cha kutekelezwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza na kuondoka kwa vikosi vya utawala wa Kizayuni wa Israel, maelfu ya Wapalestina wanapaswa kurejea katika. Hata hivyo hakuna nyumba za kurejea kwani Gaza imebaki na magofu tu.

  • Guterres: Misaada ya matibabu lazima iingie Gaza bila kizuizi chochote

    Guterres: Misaada ya matibabu lazima iingie Gaza bila kizuizi chochote

    Jan 21, 2025 03:46

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa ili kuokoa maisha ya wagonjwa na kuwatibu waliojeruhiwa, msaada wa matibabu lazima uingie Gaza bila vikwazo vyovyote.

  • HAMAS: Hali za afya za wafungwa wa Kipalestina zinaakisi 'unyama na ufashisti' wa Israel

    HAMAS: Hali za afya za wafungwa wa Kipalestina zinaakisi 'unyama na ufashisti' wa Israel

    Jan 20, 2025 23:04

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, hali za kiafya za wafungwa wa Kipalestina walioachiliwa kutoka kwenye magereza ya Israel zinaakisi "ukatili na ufashisti" wa utawala huo wa Kizayuni.

  • Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Ushindi wa Gaza ni muujiza wa kambi ya Muqawama

    Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Ushindi wa Gaza ni muujiza wa kambi ya Muqawama

    Jan 17, 2025 10:39

    Imamu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameutaja ushindi wa Wapalestina katika Ukanda wa Gaza dhidi ya utawala ghasibu wa Israel kuwa ni muujiza wa Muqawama.

  • Zaidi ya Wapalestina 4,000 wamekuwa vilema katika mashambulizi ya Israel Gaza

    Zaidi ya Wapalestina 4,000 wamekuwa vilema katika mashambulizi ya Israel Gaza

    Jan 12, 2025 08:33

    Hujuma na mashambulio ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza yamesababisha zaidi ya Wapalestina 4,000 kuwa vilema.

  • Wanamichezo 708 wameuawa shahidi tangu kuanza vita vya Gaza

    Wanamichezo 708 wameuawa shahidi tangu kuanza vita vya Gaza

    Jan 12, 2025 08:14

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vyombo vya Habari vya Michezo vya Palestina ametangaza kuwa, wanamichezo 708 wa Kipalestina wameuawa shahidi katika vita vya Gaza.

  • Watoto wa Gaza; shabaha ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel

    Watoto wa Gaza; shabaha ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel

    Jan 11, 2025 23:09

    Sambamba na kuendelea mashambulizi ya jeshi la Israel dhidi ya watu wa Gaza, baridi kali pia imezidisha idadi ya watoto wanaoaga dunia hasa watoto wachanga katika ukanda huo.

  • Rais Ouattara aonyesha kiu ya kuwania tena urais wa Ivory Coast kwa muhula wa nne mfululizo

    Rais Ouattara aonyesha kiu ya kuwania tena urais wa Ivory Coast kwa muhula wa nne mfululizo

    Jan 10, 2025 06:52

    Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara amesema, angependa kuendelea kusalia madarakani licha ya chama chake kutopitisha hadi sasa jina la mgombea wake kwa ajili ya uchaguzi wa urais utakaofanyika baadaye mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS