Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Askari wa Israel wakiri, wengi waliowaua Ghaza kama 'magaidi' ni raia wa kawaida

    Askari wa Israel wakiri, wengi waliowaua Ghaza kama 'magaidi' ni raia wa kawaida

    Apr 01, 2024 23:18

    Maafisa na askari wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamekiri kuwa akthari ya vifo vilivyoelezewa na jeshi hilo kuwa ni vya kuua "magaidi" wakati wa vita vyake dhidi ya Ukanda wa Ghaza, kiukweli hasa ni vya mauaji ya raia wa kawaida.

  • Mbunge wa Marekani ataka kadhia ya Ghaza imalizwe kama zilivyofanyiwa Hiroshima na Nagasaki

    Mbunge wa Marekani ataka kadhia ya Ghaza imalizwe kama zilivyofanyiwa Hiroshima na Nagasaki

    Apr 01, 2024 23:18

    Tim Walberg, Mbunge wa jimbo la Michigan Kusini nchini Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican amelazimika kufuta kauli aliyotoa ya kutaka Ukanda wa Ghaza uliozingirwa, ambao ni makazi ya zaidi ya watu milioni mbili, ushughulikiwe kama ilivyofanyiwa miji ya Nagasaki na Hiroshima ya Japan ambayo ilishambuliwa na Marekani kwa mabomu ya nyuklia.

  • ICJ: Israel lazima ihakikishe msaada wa dharura, chakula vinaingizwa Ghaza bila kuchelewa

    ICJ: Israel lazima ihakikishe msaada wa dharura, chakula vinaingizwa Ghaza bila kuchelewa

    Mar 29, 2024 04:11

    Mahakama ya Juu zaidi duniani ya Haki ICJ imeuamuru utawala wa Kizayuni wa Israel "kuhakikisha msaada wa haraka wa kibinadamu" unaingizwa huko Ghaza bila kuchelewa, ikisisitiza kuwa "njaa imeshaingia" katika eneo hilo.

  • Wapalestina: Gati ya muda inayotaka kujenga Marekani Ghaza ni

    Wapalestina: Gati ya muda inayotaka kujenga Marekani Ghaza ni "Bandari ya Uvamizi"

    Mar 29, 2024 03:54

    Wapalestina wanaielezea gati ya muda inayojengwa na Marekani kwenye pwani ya mji wa Ghaza kuwa ni "bandari ya uvamizi na ukaliaji ardhi kwa mabavu".

  • Kupokewa vizuri ripoti ya UN kuhusu mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Ghaza

    Kupokewa vizuri ripoti ya UN kuhusu mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Ghaza

    Mar 28, 2024 23:08

    Tathmini ya ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya Palestina juu ya mauaji ya umati yanayofanywa na Israel kwenye Ukanda wa Ghaza imepokewa vizuri na kuungwa mkono na wawakilishi wa nchi za dunia ndani ya umoja huo.

  • Guterres akiri kashfa ya kimaadili ya utawala wa Kizayuni katika kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza.

    Guterres akiri kashfa ya kimaadili ya utawala wa Kizayuni katika kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza.

    Mar 25, 2024 22:30

    Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ametembelea kivuko cha Rafah (kati ya Ukanda wa Gaza na Misri), katika mwezi wa sita wa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza, na kukitaja kitendo cha utawala huo wa Kizayuni cha kuzuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza kuwa ni "kashfa ya kimaadili".

  • Uchambuzi wa vita vya Gaza katika hotuba ya Nowruz ya kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Uchambuzi wa vita vya Gaza katika hotuba ya Nowruz ya kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Mar 22, 2024 03:34

    Katika hotuba yake ya siku ya kwanza ya mwaka mpya wa 1403 Hijria Shamsia, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, amesema suala la Palestina na Gaza ni suala la daraja ya kwanza la kimataifa na kusisitiza kuwa: Kadhia ya Gaza imeonesha jinsi ulimwengu eti uliostaarabika na unaodai kutetea haki za binadamu, unavyofanya dhulma kubwa dhidi ya watu wa Gaza.

  • UNICEF: Israel inaendesha

    UNICEF: Israel inaendesha "vita vya kuwalenga watoto" wa Ghaza iliyowekewa mzingiro

    Mar 21, 2024 23:00

    Msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF James Elder amesema matukio yanayojiri katika Ukanda wa Ghaza ni "vita dhidi ya watoto," na kusisitiza kuwa eneo hilo hivi sasa si mahala pa kuishi watoto.

  • Msomi Myahudi akosoa vikali UN kushindwa kuchukua hatua juu ya Ghaza kutokana na kura za veto

    Msomi Myahudi akosoa vikali UN kushindwa kuchukua hatua juu ya Ghaza kutokana na kura za veto

    Mar 21, 2024 22:56

    Mtengenezaji filamu mashuhuri wa Kiyahudi Haim Bresheeth, ambaye pia ni mpiga picha na msomi mtajika amekosoa vikali Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kushindwa kuchukua hatua katika mzozo wa utawala wa Kizayuni wa Israel na Palestina kutokana na kura ya turufu inayoshikiliwa na wanachama wake watano wa kudumu.

  • Mshauri wa zamani wa White House ametaka Wapalestina wahamishwe Ghaza na kupelekwa jangwani

    Mshauri wa zamani wa White House ametaka Wapalestina wahamishwe Ghaza na kupelekwa jangwani

    Mar 20, 2024 08:03

    Mshauri wa zamani wa Ikulu ya Marekani (White House) Jared Kushner amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel inapasa uwaondoe Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza na kuwahamishia kwenye jangwa la Negev kusini mwa ardhi zilizopachikwa jina bandia la Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS