Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ghaza

  • Netanyahu na jeshi la kizayuni watoa vitisho vikali kwa Wapalestina: Ondokeni Ghaza sasa hivi!

    Netanyahu na jeshi la kizayuni watoa vitisho vikali kwa Wapalestina: Ondokeni Ghaza sasa hivi!

    Sep 09, 2025 10:28

    Waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ametishia kile anachokiita operesheni kali ya ardhini katika mji wa Ghaza, huku akitoa vitisho kwa Wapalestina walioko katika mji huo kwa kuwataka waondoke sasa hivi.

  • Kiongozi: Mataifa ya Kiislamu lazima yavunje uhusiano na Israel kukabiliana na 'jinai za maangamizi' inazofanya Ghaza

    Kiongozi: Mataifa ya Kiislamu lazima yavunje uhusiano na Israel kukabiliana na 'jinai za maangamizi' inazofanya Ghaza

    Sep 08, 2025 03:16

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema lazima mataifa ya dunia hususan nchi za Kiislamu zivunje uhusiano wote wa kibiashara na kisiasa na utawala wa kizayuni wa Israel ili kukabiliana na jinai zake za maangamizi unazofanya katika Ukanda wa Ghaza.

  • Watu wa Afrika walaani jinai za utawala wa Israel dhidi ya Yemen na Gaza

    Watu wa Afrika walaani jinai za utawala wa Israel dhidi ya Yemen na Gaza

    Sep 05, 2025 10:24

    Wananchi wa nchi kadhaa za Afrika wamefanya maandamano makubwa kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Yemen na Gaza, wakionesha mshikamano wa wazi na harakati za ukombozi wa Wapalestina.

  • Kwa nini mgawanyiko kati ya bunge la Uingereza na serikali kuhusu mgogoro wa Gaza unaendelea?

    Kwa nini mgawanyiko kati ya bunge la Uingereza na serikali kuhusu mgogoro wa Gaza unaendelea?

    Sep 04, 2025 02:33

    Wabunge wa Uingereza sanjari na kukosoa sera za serikali ya Waziri Mkuu Keir Starmer katika vita vya Gaza wameishutumu serikali ya London kwa kuilegezea  Israel.

  • Spika wa Iran: Waislamu wana wajibu wa kukomesha mauaji ya Israel Gaza

    Spika wa Iran: Waislamu wana wajibu wa kukomesha mauaji ya Israel Gaza

    Sep 03, 2025 07:13

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameyataka mataifa ya Kiislamu kuungana katika vita dhidi ya utawala wa Kizayuni, ambao ameutaja kuwa shetani mkubwa zaidi duniani.

  • Hatua za Israel dhidi ya Yemen na Gaza zimeakisiwa vipi miongoni mwa watu wa Afrika?

    Hatua za Israel dhidi ya Yemen na Gaza zimeakisiwa vipi miongoni mwa watu wa Afrika?

    Sep 03, 2025 02:32

    Wananchi wa baadhi ya nchi za Kiafrika wamefanya maandamano makubwa kujibu jinai za Israel za kuishambulia Yemen na kuendelea jinai za utawala huo ghasibu dhidi ya Ukanda wa Gaza.

  • Mapigano makali yaripotiwa Mji wa Ghaza, askari 12 wa Israel waripotiwa kuuawa na kujeruhiwa, wanne watoweka

    Mapigano makali yaripotiwa Mji wa Ghaza, askari 12 wa Israel waripotiwa kuuawa na kujeruhiwa, wanne watoweka

    Aug 30, 2025 05:54

    Chaneli ya i24 ya utawala wa kizayuni wa Israel imeripoti kujiri mapigano makali kwenye viunga vya Mji wa Ghaza kati ya wanamuqawama wa Palestina na askari wa utawala huo ghasibu wakati askari hao wanajaribu kuuteka mji huo kupitia mashambulizi ya anga na mizinga mikubwa.

  • Sasa Uturuki yakata mahusiano yote ya kibiashara na Israel, yafunga anga, bandari kwa sababu ya Ghaza

    Sasa Uturuki yakata mahusiano yote ya kibiashara na Israel, yafunga anga, bandari kwa sababu ya Ghaza

    Aug 30, 2025 05:52

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan ametangaza kuwa nchi hiyo inafunga anga na bandari zake kwa ndege na meli za utawala wa kizayuni wa Israel, na kukata kikamilifu mahusiano yote ya kiuchumi na kibiashara na utawala huo kutokana na vita vyake vya mauaji ya kimbari unavyoendeleza huko Ghaza, Palestina.

  • Zakzaky: Mipango ya kuwafukuza Wapalestina Gaza, kuipokonya silaha Hizbullah itafeli

    Zakzaky: Mipango ya kuwafukuza Wapalestina Gaza, kuipokonya silaha Hizbullah itafeli

    Aug 19, 2025 10:44

    Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Yaqoub Zakzaky amebainisha kuwa, mipango ya utawala wa Kizayuni ya kuwaondoa kwa nguvu Wapalestina wa Ukanda wa Gaza katika ardhi yao na kuipokonya silaha Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon kwa kutumia serikali ya Beirut itagonga mwamba.

  • Maandamano ya kutaka kulindwa wanahabari wa Gaza yafanyika Afrika Kusini

    Maandamano ya kutaka kulindwa wanahabari wa Gaza yafanyika Afrika Kusini

    Aug 18, 2025 06:48

    Waandishi wa habari wa Afrika Kusini na wafanyakazi wa vyombo vya habari wameongoza maandamano huko Sea Point jijini Cape Town, wakishinikiza kupewa ulinzi zaidi waandishi wa habari wa Palestina huko Gaza, sanjari na kutangaza mshikamano na wenzao waliouawa katika ukanda huo wa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS