-
Zarif aonya dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu Magharibi
Feb 06, 2016 04:28Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameelezea hofu yake kuhusu kuongezeka kwa visa vya ukiukwaji wa haki za binadamu, chuki dhidi ya Uislamu na ubaguzi dhidi ya Waislamu katika nchi za Magharibi.