-
Masomo ya watoto milioni 240 yalivurugwa na hali mbaya ya hewa 2024
Jan 25, 2025 11:20Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema ratiba ya masomo ya takriban wanafunzi milioni 242 katika nchi 85 duniani yalitatizwa na hali mbaya ya hewa mwaka 2024.
-
Mwezi Julai wavunja rekodi ya dunia, watajwa kuwa na kiwango cha juu zaidi cha joto
Aug 08, 2023 15:16Mwezi Julai mwaka huu wa 2023 ulivunja rekodi ya mwezi wenye joto kali zaidi kuwahi kutokea duniani, ukiongoza kwa nyuzi joto 0.33 zaidi mbele ya Julai 2019. Haya ni kwa mujibu wa uchunguzi wa Kituo cha Ulaya cha "Copernicus" cha mabadiliko ya hali ya hewa uliyotolewa leo, Jumanne.
-
Lahore, Chad zaongoza kiwango cha juu zaidi cha uchafuzi wa hewa
Mar 15, 2023 02:23Uchunguzi mpya uliofanywa na taasisi ya IQAir ya Uswisi kuhusu hali ya uchafuzi wa hewa duniani unaonyesha kuwa, mji wa Lahore wa kaskazini mashariki mwa Pakistan ndio wenye kiwango cha juu zaidi cha uchafuzi wa hewa duniani.
-
Kimbunga cha Tropiki cha Nalgae chaua watu 45 nchini Ufilipino
Oct 29, 2022 10:44Kwa akali watu 45 wamepoteza maisha baada ya Kimbunga cha Kitropiki cha Nalgae kuipiga Ufilipino.
-
WHO: Karibu watu wote duniani wanavuta hewa chafu
Apr 05, 2022 07:23Shirika la Afya Duniani limesema karibu watu wote duniani wanavuta hewa chafu ambayo haikidhi viwango vya shirika hilo na hivyo wanakodolewa macho na magonjwa na hatari ya kifo.
-
Guterres: Dunia inasuasua kuhusu janga la hali ya hewa
Mar 21, 2022 15:20Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, jana alisema kuwa, ulimwengu unajikongoja kuhusu janga la hali ya hewa huku nchi zilizostawi kiuchumi duniani zikiruhusu kuongezeka uchafuzi wa mazingira kupitia gesi ya carbon katika hali ambayo uchafuzi wa mazingira unapasa kupunguzwa kwa kiasi kikubwa.
-
Mamia waaga dunia kutokana na joto kali nchini Canada
Jun 30, 2021 11:20Mamia ya watu wamefariki dunia nchini Canada baada ya joto lisilo la kawaida kushuhudiwa katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.
-
Uchafuzi wa hali ya hewa umeua watu milioni 6.7 duniani, wakiwemo watoto 470,000
Oct 23, 2020 07:31Uchafuzi wa hali ya hewa mwaka jana 2019 uliua watu milioni sita na laki saba kote duniani, wakiwemo watoto wadogo wa kuzaliwa zaidi ya 476,000.
-
Marekani yaanza kujiondoa rasmi kwenye Makubaliano ya Paris
Nov 05, 2019 07:23Marekani imeanzisha mchakato wa kujiondoa rasmi katika makubaliano ya mabadiliko ya tabianchi yaliyofikiwa mjini Paris, Ufaransa mwaka 2015.
-
Utafiti: Uchafuzi wa hali ya hewa duniani umekithirisha kuharibika kwa mimba
Jan 13, 2019 07:44Utafiti mpya umebainisha kuwa, uchafuzi wa hali ya hewa duniani umepelekea kuongezeka idadi ya mimba kuharibika au wanawake kujifungua kabla ya wakati.