-
Hamas 'yajiweka sawa' baada ya Israel kufanya shambulio la kinyama Jenin
Jan 21, 2025 23:20Wanajeshi wa Israel wamewauwa shahidi Wapalestina kumi na kuwajeruhi wengine 35 katika shambulio dhidi ya mji unaokaliwa kwa mabavu wa Jenin katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, na kupelekea Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas kutoa wito kwa vijana wa Kipalestina kujikusanya na kujiandaa kujibu uchokozi huo wa vikosi vamizi vya Wazayuni.
-
Iran yasisitiza kuwa uwezo wake wa kiulinzi na kijeshi hauwezi katu kuwa suala la kujadiliwa
Jan 20, 2025 23:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baghaei amesema, uwezo wa kiulinzi wa Iran hauwezi katu kuwa suala la kujadiliwa na kuzungumziwa.
-
Chombo cha Kizayuni: Hamas bado inadhibiti Ukanda wa Gaza
Jan 20, 2025 07:48Chombo kimoja cha habari cha Kizayuni kimekiri kushindwa utawala huo katika vita dhidi ya Gaza na kutangaza kuwa, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) bado inaudhibiti Ukanda wa Gaza.
-
HAMAS: Tumewalazimisha wavamizi kusimamisha uvamizi na uchokozi wao
Jan 19, 2025 08:11Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa: Adui Mzayuni ameshindwa kufikia malengo yake na kulazimika kusimamisha uchokozi wake.
-
Mwanadiplomasia wa zamani wa US: Jinai za Ghaza 'zitamsakama' Blinken hadi mwisho wa maisha yake
Jan 17, 2025 23:54Mwanadiplomasia wa Marekani aliyejiuzulu mwaka jana kulalamikia vita vya Ghaza na uungaji mkono wa Washington kwa vita hivyo amesema, jinai zilizofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika vita hivyo 'zitamsakama' waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Antony Blinken kwa muda wote uliosalia wa maisha yake.
-
Araqchi aipongeza Hamas kwa ushindi dhidi ya Israel
Jan 17, 2025 10:33Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameipongeza Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kwa ushindi wa muqawama na wananchi wa Palestina dhidi ya Israel katika vita na mauaji ya kimbari ya utawala huo katika Ukanda wa Gaza.
-
Israel imeshaua Wapalestina 40 Ghaza tangu baada ya kutangazwa makubaliano ya kusitisha vita
Jan 16, 2025 00:07Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limeendeleza mashambulio katika Ukanda wa Ghaza licha ya kutangazwa makubaliano ya kusitisha vita kati ya utawala huo ghasibu na Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS. Hadi wakati huu, Wapalestina wasiopungua 40 wameshauliwa shahidi na jeshi hilo.
-
Hamas: Wapalestina wanakufa kwa baridi kali Ukanda wa Gaza; yaitaka UN ichukue hatua
Jan 01, 2025 00:09Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeitolea wito jamii ya kimataifa na Umoja wa Mataifa kuchukua hatua hivi sasa ambapo raia wa Palestina wanaaga dunia kwa baridi kali huko Gaza huku Israel ikiendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya wakazi wa eneo hilo.
-
HAMAS yatumia droni iliyoiteka kutoka kwa Israel kuwatwanga Wazayuni
Dec 30, 2024 23:24Brigedi za Izzudin Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimetangaza kuwa, zimetumia droni ziliyoiteka kutoka kwa wanajeshi wa Israel kuwashambulia wanajeshi hao vamizi na Wazayuni wenzao.
-
Hamas yalaani vikali kushambuliwa hospitali Gaza; yasema Israel inafanya maangamizi ya kizazi
Dec 23, 2024 23:05Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani mashambulizi yanayoendelea kufanywa na jeshi la Israel katika hospitali ya Kamal Adwan kaskazini mwa Gaza na kusema kuwa, huo ni "uhalifu usio na mfano dhidi ya binadamu."