Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Hamas: Kadhia ya Palestina inakabiliwa na changamoto ya aina yake

    Hamas: Kadhia ya Palestina inakabiliwa na changamoto ya aina yake

    Aug 10, 2023 03:35

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeeleza kuwa suala la Palestina linakabiliwa na changamoto ambayo haijawahi kushuhudiwa.

  • Hamasa: Kuripua nyumba za raia wa Palestina ni ishara ya udhaifu wa Wazayuni

    Hamasa: Kuripua nyumba za raia wa Palestina ni ishara ya udhaifu wa Wazayuni

    Aug 08, 2023 23:43

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuripua nyumba za mashahidi wa Palestina na kusisitiza kuwa, sera hizo za viongozi wa Tel Aviv ni ishara ya kutojiweza utawala wa Kizayuni.

  • HAMAS: Israel ni adui wa Umma wa Kiislamu, tuungane kukabiliana na uchokozi wake

    HAMAS: Israel ni adui wa Umma wa Kiislamu, tuungane kukabiliana na uchokozi wake

    Aug 07, 2023 08:34

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na kusababisha vifo vya askari wanne wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, umma wote wa Kiislamu unapaswa kuungana pamoja kukabiliana na utawala huo dhalimu.

  • Hamas: Tutalipiza kisasi cha damu ya watoto wa Kipalestina waliouawa shahidi

    Hamas: Tutalipiza kisasi cha damu ya watoto wa Kipalestina waliouawa shahidi

    Aug 03, 2023 04:20

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetangaza kuwa italipiza kisasi cha damu ya watoto wa Kipalestina waliouawa shahidi na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas: Mustakabali wa giza unaungojea utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hamas: Mustakabali wa giza unaungojea utawala wa Kizayuni wa Israel

    Jul 14, 2023 03:57

    Mwanachama wa ngazi ya juu wa harakati ya Hamas amesema: Mustakhbali mbaya na wa giza unaungojea utawala wa Kizayuni wa Israel, na kwamba kupanuka kwa muqawama na mapambano ni ishara ya mustakbali mbaya wa Israel.

  • HAMAS yafanyia majaribio kombora lake jipya Ukanda wa Gaza

    HAMAS yafanyia majaribio kombora lake jipya Ukanda wa Gaza

    Jun 27, 2023 04:08

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imefanyia majaribio kombora lake jipya katika Ukanda wa Gaza.

  • Wapalestina walaani hatua ya Wazayuni ya kuchoma moto nakala za Qur'ani Tukufu

    Wapalestina walaani hatua ya Wazayuni ya kuchoma moto nakala za Qur'ani Tukufu

    Jun 23, 2023 23:30

    Kitendo cha walowezi wa Kiyahudi cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu wakati wa mashambulizi ya askari wa Israel dhidi ya misikiti ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kimeibua wimbi kubwa la laana na malalamiko ya Waislamu hususan huko Palestina.

  • Kiongozi Muadhamu: Njama za Wazayuni za kuyagawa makundi ya muqawama zimefeli

    Kiongozi Muadhamu: Njama za Wazayuni za kuyagawa makundi ya muqawama zimefeli

    Jun 21, 2023 23:54

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema njama za Wazayuni za kupika majungu ya fitina ili kuibua mifarakano na kuyagawa makundi ya muqawama zimefeli na kusisitiza kwamba, utawala huo wa Kizayuni karibuni utapigishwa magoti na wanamuqawama katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Iran: Madola ya Kiislamu yachukue hatua za kukomesha jinai za Israel

    Iran: Madola ya Kiislamu yachukue hatua za kukomesha jinai za Israel

    Jun 19, 2023 06:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyaasa madola ya Kiislamu kuchukua hatua za kivitendo za kukomesha jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.

  • HAMAS: Israel inataka kuwafunga jela watoto zaidi wa Palestina

    HAMAS: Israel inataka kuwafunga jela watoto zaidi wa Palestina

    Jun 18, 2023 04:09

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani njama zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kupasisha sheria inayoruhusu kufungwa jela watoto wadogo wa Kipalestina wa kuanzia miaka 12.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS