• HAMAS: Badala ya mazungumzo mapya, Wazayuni walazimishwe kutekeleza usitishaji vita

    HAMAS: Badala ya mazungumzo mapya, Wazayuni walazimishwe kutekeleza usitishaji vita

    Aug 13, 2024 05:40

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema utawala ghasibu wa Kizayuni umethibitisha kuwa hautaki kufikia makubaliano; na kwa sababu hiyo, harakati hiyo imewataka wapatanishi wa Misri na Qatar wawalazimishe Wazayuni watekeleze pendekezo la hivi karibuni la usitishaji vita badala ya kutaka yaanzishwe mazungumzo mengine mapya.

  • Iran: Tumeshaandaa mazingira ya kutoa jibu kali dhidi ya Israel

    Iran: Tumeshaandaa mazingira ya kutoa jibu kali dhidi ya Israel

    Aug 10, 2024 13:43

    Mshauri wa masuala ya kisiasa wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei amesema mazingira yameshaandaliwa kwa ajili ya Iran kutoa jibu kali na la kuumiza dhidi ya Israel, kutokana na hatua ya utawala huo wa Kizayuni kumuua shahidi Ismail Haniyah, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS.

  • Iran: Israel imetengwa zaidi kisiasa duniani baada ya kumuua kigaidi Haniyah

    Iran: Israel imetengwa zaidi kisiasa duniani baada ya kumuua kigaidi Haniyah

    Aug 09, 2024 07:20

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, kulaaniwa Israel kote duniani kwa mauaji ya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Ismail Haniyah kumezidisha kutengwa kisiasa kwa utawala huo wa Kizayuni.

  • Muqawama: Kuchaguliwa Sinwar kunaonyesha Israel imeshindwa kufikia malengo yake

    Muqawama: Kuchaguliwa Sinwar kunaonyesha Israel imeshindwa kufikia malengo yake

    Aug 07, 2024 10:51

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema hatua ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) kutangaza kumteua Yahya Sinwar kuwa mrithi wa Ismail Haniyah, aliyekuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya HAMAS, kwa mara nyingine tena inathibitisha kuwa, malengo ya Wazayuni ya kuwaua kigaidi viongozi wa muqawama yamegonga mwamba.

  • Bagheri Kani: Iran itatoa jibu madhubuti kwa ugaidi wa Israel

    Bagheri Kani: Iran itatoa jibu madhubuti kwa ugaidi wa Israel

    Aug 07, 2024 07:06

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema utawala wa Israel ndio chanzo halisi cha ukosefu wa utulivu katika eneo la Asia Magharibi, na kwamba utawala huo wa Kizayuni unapata ujasiri wa kutenda jinai na vitendo vyake vya kigaidi kutokana na kimya cha nchi za Ulaya.

  • NAM: Mauaji ya Ismail Haniyah ni kitendo cha kigaidi

    NAM: Mauaji ya Ismail Haniyah ni kitendo cha kigaidi

    Aug 07, 2024 06:51

    Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM) sanjari na kulaani mauaji ya kigaidi ya Ismail Haniyah, Mkuu wa Kisiasa wa Harakati ya Muqawama ya Palestina HAMAS, imeyataja mauaji hayo kama kitendo cha kigaidi.

  • Yahya Sinwar ateuliwa kuwa Mkuu mpya wa Kisiasa wa HAMAS

    Yahya Sinwar ateuliwa kuwa Mkuu mpya wa Kisiasa wa HAMAS

    Aug 07, 2024 05:44

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imemteua Yahya Sinwar kuwa Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo ya muqawama, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na marehemu Ismail Haniyah.

  • OIC yafanya kikao cha dharura leo kujadili mauaji ya kigaidi ya Haniyah

    OIC yafanya kikao cha dharura leo kujadili mauaji ya kigaidi ya Haniyah

    Aug 07, 2024 03:20

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inatazamiwa kufanya kikao cha dharura leo Jumatano mjini Jeddah nchini Saudi Arabia, kujadili mauaji ya kigaidi ya Ismail Haniyah, Mkuu wa Kisiasa wa Harakati ya Muqawama ya Palestina HAMAS.

  • Abbas: Mauaji ya Haniyah yanalenga kurefusha vita vya Gaza

    Abbas: Mauaji ya Haniyah yanalenga kurefusha vita vya Gaza

    Aug 07, 2024 02:27

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mahmoud Abbas amesema Israel ilimuua kigaidi Mkuu wa Ofisi ya Ksiasa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Ismail Haniyah ili kuendeleza na kurefusha vita vyake dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Radiamali ya Hamas kwa jinai kubwa ya Tel Aviv dhidi ya miili ya mashahidi wa Palestina

    Radiamali ya Hamas kwa jinai kubwa ya Tel Aviv dhidi ya miili ya mashahidi wa Palestina

    Aug 06, 2024 07:51

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa kitendo kilichofanywa na utawala wa Kizayuni cha kukabidhi miili ya mashahidi zaidi ya 80 wa Kipalestina katika hali iliyoharibika kabisa kinaonyesha kiwango kisicho na kifani cha jinai za utawala huo.