-
Hamas yapinga kutumwa jeshi la kigeni Gaza mbadala wa jeshi vamizi la Israel
Nov 05, 2025 03:39Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas katika Ukanda wa Gaza imesema kuwa haiwezakani kutumwa kikosi cha kijeshi cha kigeni katika eneo hilo ambacho kitahudumu kama mbadala wa jeshi vamizi la Israel.
-
Hamas: Israel lazima igharamie ujenzi mpya wa Gaza
Oct 21, 2025 08:01Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, Mousa Abu Marzouk ametoa wito kwa Israel kufadhili kikamilifu ukarabati na ujenzi mpya wa Ukanda wa Gaza, akitaja uharibifu mkubwa na haki za Wapalestina zaidi ya milioni mbili ambao wamepoteza makazi yao, makazi na riziki.
-
Kushner: Hamas 'inatekeleza kwa nia njema' makubaliano ya usitishaji vita Ghaza
Oct 20, 2025 07:15Mkwe wa Rais Donald Trump wa Marekani, Jared Kushner, ambaye ni mmoja wa wapatanishi wake wakuu katika mpango wa kusitisha mapigano Ghaza, amesema harakati ya Palestina ya Hamas imekuwa "ikitekeleza kwa nia njema" makubaliano hayo, akiashiria taarifa zilizopokelewa kutoka kwa wapatanishi wa kikanda waliohusika katika mazungumzo ya usitishaji huo wa vita.
-
HAMAS: Hatutajifunga kukabidhi silaha mpaka yatakapofanyika mazungumzo zaidi
Oct 18, 2025 23:12Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa haitajifunga moja kwa moja kukabidhi silaha na inatumai usitishaji vita na utawala wa kizayuni wa Israel utadumu kwa muda wa miaka mitatu hadi mitano ili kuijenga upya Ghaza.
-
Taa ya kijani ya Trump kwa Israel; Je vita vya Gaza vitaanza tena?
Oct 17, 2025 22:59Rais Donald Trump wa Marekani ameionyesha Israel taa ya kijani ili ianzishe tena vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Hamas yaonya; Israel inaendelea kuchuja orodha ya mateka
Oct 13, 2025 06:12Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas kuushutumu utawala ghasibu wa Israel kwa 'kutia mkono' orodha ya mateka wa Kipalestina, na kukwepa kutekelezwa masharti na vipengee vya makubaliano ya usitishaji vita Gaza, licha ya ahadi zake kwa wapatanishi wa kimataifa.
-
Hamas yawakabidhi kwa Msalaba Mwekundu huko Gaza mateka 7 wa kwanza wa Israel
Oct 13, 2025 03:10Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu (ICRC) limetangaza kukabidhiwa mateka saba wa kwanza wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Je, ni upi msimamo wa Umoja wa Ulaya kuhusu mpango wa Trump na usitishaji vita huko Gaza?
Oct 12, 2025 22:53Umoja wa Ulaya umeeleza kuwa usitishaji vita huko Gaza ni fursa ya kweli ya kuhitimisha vita vya uharibifu.
-
HAMAS: Tony Blair hakaribishwi kuwa na nafasi yoyote katika uongozi wa Ghaza baada ya vita
Oct 12, 2025 02:14Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya kwamba Tony Blair hatakaribishwa kuwa na nafasi yoyote ya uendeshaji wa Ghaza kufuatia kuanza kutekelezwa usitishaji vita katika eneo hilo la Palestina.
-
Mwandishi wa gazeti la kizayuni la Haaretz: HAMAS haijasambaratika na imefikia malengo yake
Oct 11, 2025 05:39Mwandishi mashuhuri wa gazeti la kizayuni la Haaretz Chaim Levinson amesema, japokuwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imepoteza hatamu za uongozi wa Ukanda wa Ghaza, lakini imefanikiwa kufikia malengo yake mawili makuu.