-
Utawala wa Kizayuni wajiepusha kuingia tena vitani na wanamuqawama wa Palestina
Feb 18, 2020 10:18Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni amesema kuwa utawala huo umeamua kujiepusha na kujiingiza vitani kwa mara nyingine tena na wanamuqawama wa Palestina.
-
HAMAS: Takwa la Wapalestina kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kukata kikamilifu uhusiano na Marekani
Feb 17, 2020 22:09Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza kuwa, takwa la taifa la Palestina kwa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kukata kikamilifu uhusiano wake na serikali ya Marekani.
-
"Muamala wa Karne umewaunganisha Waislamu kote duniani"
Feb 13, 2020 08:29Mwakilishi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS mjini Tehran amesema mpango wa kibaguzi wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina uliopewa jina la Muamala wa Karne umekuwa chachu na sababu ya kuungana Waislamu kote duniani bila kujali tofauti zao za kimadhehebu.
-
Msemaji wa Hamas: Mumala wa Karne utafeli na kugonga mwamba
Feb 10, 2020 04:50Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema kuwa, mipango ya Marekani na utawala ghasibu wa Israel na ushirikiano wao mkubwa wa kutekeleza mpango wa Muamala wa Karne na kuchora ramani mpya ya kuliunganisha eneo la Ukingo wa Magharibi na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu, utafeli na kushindwa.
-
Hamas: Hatutaruhusu Mpango wa ‘Muamala wa Karne” utekelezwe
Jan 25, 2020 23:22Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, katu haitaruhusu mpango uliojaa njama wa Marekani-Israel wa Muamala wa Karne utekelezwe na kufikia malengo yake machafu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel: Tutaendeleza mauaji ya kigaidi huko Gaza
Dec 26, 2019 22:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, utawala huo utaanza tena kutekeleza mauaji ya kigaidi dhidi ya wanamapambano wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea + Video
Dec 26, 2019 08:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, utawala wa Kizayuni ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea kutokana na mashambulizi yake ya mara kwa mara katika Ukanda wa Ghaza.
-
Hamas: Kufanyika uchaguzi Quds hakuhitajii ruhusa ya Israel
Dec 25, 2019 21:41Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa kufanyika uchaguzi katika mji wa Quds hakuhitajii ruhusa ya Israel na kwamba utawala huo wa Kizayuni unapasa kufahamishwa suala hilo.
-
HAMAS yakaribisha kuanza upya harakati za UNRWA
Dec 14, 2019 08:47Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imekaribisha hatua ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA kuongeza kwa miaka mitatu zaidi muda wa kutoa huduma kwa wakimbizi wa Palestina.
-
Israel yawakamata viongozi kadhaa wa HAMAS al-Khalil
Dec 12, 2019 21:13Vikosi vya usalama vya utawala haramu wa Israel vimeendeleza chokochoko zake kwa kuwatia mbaroni viongozi kadhaa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) mjini al-Khalil (Hebron), katika Ukiongo wa Magharibi wa Mto Jordan.