Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

HAMAS

  • Wanamapambano wa Kipalestina wajiweka tayari Ukanda wa Ghaza kukabiliana na Wazayuni

    Wanamapambano wa Kipalestina wajiweka tayari Ukanda wa Ghaza kukabiliana na Wazayuni

    Nov 12, 2018 04:23

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imewaagiza wapiganaji wake kujiweka tayari kufuatia kuuliwa shahidi na kujeruhiwa wanamuqawama wake kadhaa huko Khan Yunis kusini mwa Ukanda wa Ghaza. Mauaji hayo yamefanywa na Wazayuni.

  • Safari ya Waziri Mkuu wa Israel nchini Oman yalaaniwa ndani na nje ya Palestina

    Safari ya Waziri Mkuu wa Israel nchini Oman yalaaniwa ndani na nje ya Palestina

    Oct 27, 2018 12:11

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa taarifa ya kulaani hatua ya nchi za Kiarabu ya kuwapokea viongozi wa kisiasa na timu za wanamichezo wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hamas yatoa indhari kwa utawala haramu wa Kizayuni

    Hamas yatoa indhari kwa utawala haramu wa Kizayuni

    Oct 21, 2018 19:48

    Mshauri wa masuala ya habari wa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ameutahadharisha utawala wa Kizayuni dhidi ya kutenda jinai ya aina yoyote dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Waziri Mzayuni ataka kubomolewa nyumba za viongozi wa HAMAS

    Waziri Mzayuni ataka kubomolewa nyumba za viongozi wa HAMAS

    Oct 21, 2018 04:13

    Yisrael Katz, Waziri wa Usafiri wa utawala haramu wa Israel ametoa wito wa kubomolewa nyumba za viongozi wa Harakati ya Mapambano ya kiislamu ya Palestina (HAMAS).

  • Waziri wa Vita wa Israel:

    Waziri wa Vita wa Israel: "Maandamano ya Kurejea" ni silaha ya kistratejia ya HAMAS

    Oct 14, 2018 12:48

    Waziri wa Vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeyageuza maandamano ya haki ya kurejea kuwa silaha ya kistratejia.

  • Waziri wa Israel: Tel Aviv haina uwezo wa kupambana na HAMAS

    Waziri wa Israel: Tel Aviv haina uwezo wa kupambana na HAMAS

    Oct 01, 2018 04:41

    Waziri wa Elimu na Mafunzo wa Utawala Haramu wa Kizayuni amesema kuwa, kile kinachojiri katika Ukanda wa Gaza, kina upande wa usalama na ni matokeo ya siasa za kupenda vita za Avigdor Lieberman, Waziri wa Vita wa Israel.

  • Askari wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina wawatia nguvuni wanachama 100 wa HAMAS Ufukwe wa Magharibi

    Askari wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina wawatia nguvuni wanachama 100 wa HAMAS Ufukwe wa Magharibi

    Sep 27, 2018 12:10

    Askari usalama wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina wamewatia nguvuni makumi ya wanachama waandamizi na wafuasi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS katika eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • HAMAS: Matamshi ya Mahmoud Abbas yanabainisha mtazamo wake binafsi

    HAMAS: Matamshi ya Mahmoud Abbas yanabainisha mtazamo wake binafsi

    Sep 22, 2018 13:14

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuhusu matamshi aliyotoa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ya kuwa tayari kufanya mazungumzo na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, kwamba matamshi hayo yanaakisi mtazamo wake binafsi, wala hayawakilishi maoni ya wananchi wa Palestina.

  • Ismail Hania: Maandamano ya Haki ya Kurejea na kuondolewa mzingiro hayatasimama

    Ismail Hania: Maandamano ya Haki ya Kurejea na kuondolewa mzingiro hayatasimama

    Sep 19, 2018 10:14

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, taifa la Palestina limeazimia kwamba, litasimama kidete kukabiliana na mzingiro wa adui Mzayuni hadi pale litakapousambaratisha.

  • Jitihada za Hamas za kuhitimisha mzingiro Ukanda wa Ghaza

    Jitihada za Hamas za kuhitimisha mzingiro Ukanda wa Ghaza

    Sep 16, 2018 03:03

    Afisa anayehusika na masuala ya uhusiano wa kimataifa wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa harakati hiyo inafanya jitihada maalumu ili kuhitimisha mzingiro na kuifanya tulivu hali ya mambo huko Ghaza na kwamba hakuna upande unaoweza kupinga au kukabiliana na mchakato huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS